Waandishi wa Habari Nisaidieni

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Hivi bila jacket AU kitu kilichowazi kinachoonyesha huyo Ni PRESS sio Kibaka Polisi watawatambua je? Yaani Kwenye vurumai ndio waulizia identity Kadi... MIMI naona waandishi muna WAJIBU wakuwa na vitambulishi vilivyowazi Kwa mtu yeyote!
 
Waandishi Tz hawana thamani ht wawe na utambulisho gani watapigwa tu..........
 
Mkuu kweli umeona mbali sana.
Maana naona wenzetu waandishi wa nje walivyo advanced kwa vitu kama hivi.
Mwandishi lazima achukue tahadhari kwenye matukio,yaani akiwa sehem salama basi huwa na ID ya kawaida na akiwa sehema ambayo anahisi lolote linaweza kutokea anavaa jacket maalum lenye nembo kumbwa PRESS.
Nimeona sana hizi Aljazeera,CNN na BBC.

Hapa kwetu tunaishia kulalamika tu,we kwenye vurugu kama ile nimeona jana,eti muandishi akiishakamatwa ndio anatoa kitambulisho na ilikuwa ngum kwa jinsi walivyo kumjua mwandishi nani na asie mwandishi nani.
Kuna mmoja alinifanya nichecke eti anamuonyesha askari Camera eti ona hii Camera mie ni mwandishi wa Habari,duuhh nikasema hii kazi kweli.
Nahisi tujipange,sio tutafute habari za kuuza kwa kujiegesha kwenya mietgo ya Polisi.
Mwandishi kuwa na thamani ni jinsi unavyojiweka kama mwanahabari katika mapinduzi ya sekta ya Habari.
 
Du.. hilo la kusema waandishi wawe na utambulisho ndio ''kuona mbali''? Kaazii kweli kweli!
 
Back
Top Bottom