Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA

Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Kweli wewe ni mafilili,eti jemedari JK!Huo ndiyo mwisho wako wa kufikiria!Lol
 
Ndoto za Alinacha.
 
..Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo...

Wewe naona ndio umeamka sahz, habari za asubuhi? Karibu kwenye ulimwengu wa walio hai. Ni kweli kabisa ccm inatusaidia kuzitumia vyema rasilimali, ikiwa na pamoja na kusafirisha twiga wetu kwa ndege kwenda nje.
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Mafinyofinyo, madudu, mataputapu na kichefuchefu juu
 
Unafikiri wote tuko kama wewe. ni issue ya IQ tu, nyingine ni ndogo sana. Hasa za watu waliobaki CCM.
 
Huna maana kabisa katika kizazi hiki.
 
Mbula ! hapa kuna kupimwa akili watu wanaoleta thread kimeo, pumba na kinyaa; hawajui sera maadili ya kazi zaidi ya udaku tuu. Apelekwe mirembe.
 
Ccm nadhani imewapa maisha bora baba na mama yako.........kama chadema mwisho wake mwezi wa 12/2012 povu la nini linakutoka?....kama unajua kinakufa soon unajamba mavi kwanini?pumbavuuu kabisa.tuachie chama chetu chadema
 
Mafilili hajawahi kuwa thinker. Kwa post zote alizowahi kupost au kucomment.Veeeeeerrry shallow!!
 
Mmmm! Natumia nguvu nyingi sana kujizua nisimtukane huyu gamba.
Sijui anatumia nn kufikiri masikini ' au maboso?'
 
Eti uongozi shupavu wa jemedari jk! Sema uongozi dhaifu wa ccm na jk banaa! Magamba bana namtajibeba safari hii! Yani kwenu nyinyi watu wakihoji ujinga wenu na wizi mnaofanya eti nimchochezi oneni aibu
 
Ccm nadhani imewapa maisha bora baba na mama yako.........kama chadema mwisho wake mwezi wa 12/2012 povu la nini linakutoka?....kama unajua kinakufa soon unajamba mavi kwanini?pumbavuuu kabisa.tuachie chama chetu chadema

acha kubeba huo mzigo wa kichwa kama haukusaidii kufikiri na kuandika vitu vya maana.huu uharo wako hapa unatia kinyaa
 
Eti uongozi shupavu wa jemedari jk! Sema uongozi dhaifu wa ccm na jk banaa! Magamba bana namtajibeba safari hii! Yani kwenu nyinyi watu wakihoji ujinga wenu na wizi mnaofanya eti nimchochezi oneni aibu

uongozi dhaifu ni wa disko joker na kale kazee kanakoiba wake za watu
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.
Hivi na wewe akili zako timamu?
 
Back
Top Bottom