Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA

Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Vipi malipo yameongezeka?
 
humans use brains, what did u use here????
 
Unasifia barabara nzuri Dsm wakati lita ya petrol ni shilingi 2300 Dar hivi unajua bei ya mikoani kama Tabora,mpanda na kigoma hayo ndiyo maisha bora ya mtanzania Kikwete aliyoahidi?
 
Hoja dhaifu,mtoa hoja dhaifu, CCM dhaifu, Viongozi wake dhaifu, malengo ya CCM ni dhaifu ndiyo maana hata maendeleo ya nchi hii ni dhaifu. Tunataka mabadiliko. Hatudanyiki na hoja mufilisi. RIP CCM
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.
 
Kwa upeo wa huyu MAFILILI nadhani hana uwezo wa kutoa ushauri hata kwa mtoto wa miaka miwili. Huyu jamaa kichwa chake kimajaa madudu matupu. Huwa nikisoma kilichochangiwa ktk thread huwa napata picha kuwa ni yeye ndie aliyetoa hiyo hoja bila hata ya kuwa na wasiwasi.
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Anzia hapo kwenye blue,
Huyo'jemedari' wako JK amefanikiwa kuweka historia katika Tanzania, historia ambayo hakuna rais yeyote aliyepita aliweza kuiweka.
Historia yenyewe ni kama ifuatavyo:-
  • Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, serikali ilisambaratika na kujiuzulu kwasababu ya kashfa ya rushwa na ufisadi (kashfa ya Richmond).
  • Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, kuketokea mauaji ya kutisha ya mwandishi wa habari akiwa katika kutekeleza majukumu yake ya uandishi.

Hapo kwenye red,
Amri sahihi za kipolisi ni zipi ?? Marehemu Daudi Mwangosi aliuawa kikatili sana na polisi bila ya kuwa na hatia yoyote ile.
Kwanza kabisa alizingirwa na polisi wapatao saba, wakamtesa na kumuua. Kwa tukio hili, amri sahihi za kipolisi ni kuwaua raia wasio kuwa na hatia yoyote ile.

Usishabikie wala kusherehekea mauaji ya watu wasio na hatia, maana kwa kufanya hivyo, unashiriki moja kwa moja kwenye mauaji hayo.
Kumbuka, Atawalaye kwa upanga, hakika atakufa kwa upanga.
 
mimi binafsi siungi mkono hoja ya mleta mada......ila kwa suala la waandishi wa habari wengi wao hawajui nafasi yao katika jamii.....vigeugeu.....wana bei....wengine bei yao ni rahisi sana.....wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka kilichotokea 2005.....Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye alikwisha nena...."anayeingia madarakani kwa kalamu hulinda utawala wake kwa risasi".......kwa mbali naona tunataka kurudia kosa........
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.
huko mbali sana wameshapotea, wangefanya tathmini wangeyajua hayo
 
Vpi ndoa ya mkeka ya cuf na ccm imekufa? ONE COIN WITH THE SAME TWO SIDES. Magambaz at work. Mziki wa M4C muulize Pinda ameukuta huku geita, ccm ipo ICU.
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Hapo kwenye red, kwa nini wampeleke muuaji mahakamani kama ni amri sahihi! Watu wengine mpo kimasilahi, hivi hamchoki kuja na pumba kila siku???
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Noun:wishful thinking 'wish-ful 'thing-king
1. The illusion that what u wish for is actually true..
 
Back
Top Bottom