Waandishi wa habari mnaona mnavyopiganiwa na Wanasiasa, Wanaharakati na Wananchi? Mbona nyie mnawahujumu?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,794
71,212
Waandishi wengi wapatwapo na misukosuko wanapiganiwa sana na Wanaharakati, wanasiasa hasa wa upinzani na wananchi wa kawaida mfano wa karibu ni Mwandishi Kabendera na Azory Gwanda.

Ila jambo la kusikitisha hatuoni nguvu yao ingawa wana nafasi nzuri kwa kalamu yao kupigania wengine wanaponyanyaswa hasa Wanasiasa wa upinzani na wanaharakati? Wananchi wanapotendewa yasiyo ya haki kwao sio habari kama hakuna bahasha? Mbona wamebaki na tabia ya kulamba nyayo za watawala wakiendekeza matumbo yao tuu?

Waandishi wajitathimini la sivyo itafika wakati nao wataachwa kwenye hilo fungu walilochagua
 
Wakati Nchi ina dhalilishwa, Rais wa Tanzania anadhalillishwa na Kabendera kupitia gazeti la mabeberu baadhi ya wanaharakati na wanasiasa hasa wa upinzani walikua wakishangilia.
kwaiyo kwa sasa kumuunga mkono kabendera ni sawa.
Vilevile sio waandishi wote walikua wakifurahia udhalilishaji kwa kutumia machapisho ya Kabendera dhidi ya Rais wa Tanzania na Serikali yake. Hii inamaana waandishi wanajitambua na sio bendera inayo fuata upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni jamii isiyo na shukrani .
Jamii yenyewe ikiongozwa na "Mtakatifu Pascali Mayalla Wa 16", Master wa kuchongea wanahabari wenzake.

Siku akikumbana na kesi ya uhujumu uchumi au watu wasiojulikana wakienda nae honeymoon, wananchi tunakaa kimya, wala hatupazi sauti kumtafuta.
 
redio,
Mtajifunza lini maneno ya JK? Kuwa wakisema hujajenga barabara, usitume polisi Bali waonyeshe. Hakuna hospitali, wewe waonyeshe badala ya kutumia pingu nk.
Sheria iko wazi, kama mtu kadhalilisha ashtakiwe nayo! Unakasirika kwa tusi unatumia upanga? Kunatofauti gani kati take na wewe?
Acheni ushamba basi? Kenyatta alitukanwa live na mama mmoja Mbunge, alichofanya ni kumtumia card ya Christmas na mwaliko wa Lunch
 
kila mtu ni JK?
Na kila mtu ni Kenyata?

Azory alimdhalilisha nani? Kabendera kama ni yeye alikuwa anaandika ukweli, msiitumie nchi kuficha uovu wenu.
 
Wakati Nchi ina dhalilishwa, Rais wa Tanzania anadhalillishwa na Kabendera kupitia gazeti la mabeberu baadhi ya wanaharakati na wanasiasa hasa wa upinzani walikua wakishangilia.
kwaiyo kwa sasa kumuunga mkono kabendera ni sawa.
Vilevile sio waandishi wote walikua wakifurahia udhalilishaji kwa kutumia machapisho ya Kabendera dhidi ya Rais wa Tanzania na Serikali yake. Hii inamaana waandishi wanajitambua na sio bendera inayo fuata upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
nchi ilidhalilishwaje unaweza kutaja hata mfano moja wa udhalilishaji?
 
hamna boss... kutumia fulani kuhalalisha fulani ni usumbufu wa akili....

Mimi sijui kama ameonewa ama lah.

Itakaponikuta namimi nimeonewa ntajua wanaoneaje...

kucheza na serikali za Afrika ni suicide mission..... Yeye ndio anajua alifaidika nini na sasa anaumiaje...

Na kama ameonewa mungu ampe wepesi na kushinda..

Acha niendelee kugema ulanzi watoto wangu wasije kuni miss
Yani unaacha point ya msingi unashambulia mifano
Matusi ama udhalilishaji alofanya Eric ni upi? Na mbona hajashikiliwa kwa makosa hayo umetaja hapo??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom