BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,499
RIP waandishi walio fariki kwenye ajari ya msafara wa mkuu wa Mkoa.
Turudi kwenye Maada, huwa sielewi inawezekana vipi waandishi wanadandia usafiri wa Viongozi na kwenda kureport habari zao.
Kwa kupewa tu kift, lazima habari yenyewe impambe vilivyo alie kupa lift, huwezi tarajia negative habari kutoka kwenye mwandishi ulie mlipia hadi usafiri na saa zingine hadi posho wanapewa na hao hao viongozi.
Ndo maana kwa saaa juna asilimia kubwa ya habari za kusifia tu kuanzia juu hadi Chini ni kuabudu na kutukuza.