Waandishi wa Habari Kukamatwa na Polisi ni Uonevu!. Serikali Yatakiwa Kutenda Haki Kwa Kuheshimu Uhuru wa Habari, na Haki za Binadamu-Jicho Letu.

Kabla ya kipindi kumalizika, kukaibuka hoja ya waandishi kupokea bahasha, ambayo iliibua mjadala mkali kwa Aloys Nyanda kuwalipua waandishi wa Mwanza akiwamo Mansur kushikishwa kidogo dogo na Mniwasa hivyo waandishi wakaishia kuifagilia tuu badala ya kuandika shida za maji za wananchi, Nyanda akasema this is not right.

Mansour akijibu tuhuma amekiri waandishi kupokea bahasha nene na kusema hizi ni bahasha halali za posho kama posho nyingine zozote halali ambazo sio rushwa. Mansour naye akamlipua Nyanda kupokea posho nene kumsafisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliposusiwa na media baada ya uvamizi wa Clouds, Nyanda alilipiwa tiketi ya ndege na posho nene ya kujituma kwa kumtoa Mwanza hadi Dar kulikofanyika mahojiano hayo, hali iliyopelekea badala ya Nyanda kumuuliza Makonda maswali magumu, aliishia kumbeba!.
Kipindi kimekwisha.
Asante kwa kufuatilia.
Paskali
 
Umesahau ulipoitwa Dodoma kutokana na maoni yako ukiwa mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni!
1566628969016.png
 
Kuwa makini mkuu na wewe usiundiwe tume tena
Wanabodi

Matukio ya Waandishi wa Habari Kukamatwa na Polisi katika utekelezaji wa majukumu yao, yameelezwa baadhi ni uonevu tuu wa vyombo vya dola, hivyo umetolewa mwito kwa Serikali na mamlaka zake, kuacha uonevu kuwaonea waandishi wa habari, hivyo serikali imetakiwa kutenda haki kwa kuzingatia uhuru wa habari, na kuheshimu haki za binadamu.

Wito huo umetolewa kwenye mjadala wa kipindi cha "Jicho Letu Ndani ya Habari" kinachotangazwa mubashara na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi.

Kwa wenye nafasi, angalia Star TV, wengine andamana nami

P.
 
Hivi waandishi wa habari huwa hawakosei??
Waandishi nasi ni binaadam kama binaadam wengine wote pia tunakosea, kunapotokea makosa, taratibu zetu zipo kushughulikia makosa yetu ikiwemo kushitakiwa Baraza la Habari MCT lakini sio hiki kinachofanywa na polisi na serikali hadi wengine kuwabambikia kesi.

P
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hata nchi iwe imejaa waoga, hatutaogopa wote.
Atatokea wa kukemea, kupinga na kushauri kutokana hali itakavyokuwa.
Wale walamba pua na viatu huwa hawakosi mpaka yawakute ndio unafiki unawatoka.
 
Wanabodi

Matukio ya Waandishi wa Habari Kukamatwa na Polisi katika utekelezaji wa majukumu yao, yameelezwa baadhi ni uonevu tuu wa vyombo vya dola, hivyo umetolewa mwito kwa Serikali na mamlaka zake, kuacha uonevu kuwaonea waandishi wa habari, hivyo serikali imetakiwa kutenda haki kwa kuzingatia uhuru wa habari, na kuheshimu haki za binadamu.

Wito huo umetolewa kwenye mjadala wa kipindi cha "Jicho Letu Ndani ya Habari" kinachotangazwa mubashara na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi.

Kwa wenye nafasi, angalia Star TV, wengine andamana nami

P.
Atangazae milimo si mwana wa liwali.

Wewe ni Double Agent!
 
Wanabodi

Matukio ya Waandishi wa Habari Kukamatwa na Polisi katika utekelezaji wa majukumu yao, yameelezwa baadhi ni uonevu tuu wa vyombo vya dola, hivyo umetolewa mwito kwa Serikali na mamlaka zake, kuacha uonevu kuwaonea waandishi wa habari, hivyo serikali imetakiwa kutenda haki kwa kuzingatia uhuru wa habari, na kuheshimu haki za binadamu.

Wito huo umetolewa kwenye mjadala wa kipindi cha "Jicho Letu Ndani ya Habari" kinachotangazwa mubashara na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi.

Kwa wenye nafasi, angalia Star TV, wengine andamana nami

P.
Serikali iliyopo madarakani bila kutumia mabavu na kuminya uhuru wa vyombo vya habari ingeshatoka madarakani kitambo tu
 
Hata nchi iwe imejaa waoga, hatutaogopa wote.
Atatokea wa kukemea, kupinga na kushauri kutokana hali itakavyokuwa.
Wale walamba pua na viatu huwa hawakosi mpaka yawakute ndio unafiki unawatoka.
Kwa bahati mbaya haiwezekani watu woote tukawa na mawazo yanayofanana, kutofautiana kupo.

Hata hao unaoita walamba viatu, wanayo haki ya kutoa mawazo yao kama wewe mkosoaji ulivyokuwa na haki ya kukosoa, ila kwa bahati mbaya sana tuliyonayo. Kuna baadhi ya watu ambao wanajiita wakosoaji wanalazimisha tufanane mawazo jambo ambalo haliwezekani.
 
Stroke... uko sahihi, Ila kujitoa ufahamu na kutetea kama haya ni uzuzu mkubwa.
 
Je waanshi wa habari wakitenda kosa wafanyweje? Hivi waandishi wote wanafuata maadili ya uandishi? Hakuna hata anaye kwenda kinyume?
Ndiyo maana kuna sheria, sasa hizi mbinu za Tiss za kidnappings na liquidations (mfano Azory Gwanda) ni za nini kama nchi inafuata utawala wa kisheria, tuliambiwa(tuliaminishwa) issue ya Kabendera ilikuwa ni ya immigration sasa ilipobuma ndiyo kukaja plan B?
Dictatorial and tyrant regime ndipo tulipo kwa sasa.
 
Hakuna watu wajinga kama nyie waandisha mnatumika na kila pande, iwe chadema, iwe ACT, iwe CCM, iwe CUF wote wanawatumia wanavyotaka!
Alafu waandishi sio malaika eti wakifanya makosa wasikamatwe wala kushtakiwa kisa tu ni waandishi!
Pambaaf zenu nyie
 
Nyie wenyewe waadishi ndo mnapaswa kupigania haki zenu bila kugawanyika, kifikra na kivitendo.....lakini tatizo la waadishi wahabari Tz ni njaa nakua 'unproffessional' wanatumika na wanasiasa kwa malipo kidogo tu,
Mkuu Mulwanaka, kweli hili ni tatizo, waandishi na media hatuna umoja, hatuna chama kimoja cha kutetea haki zetu, hatuzungumzi kwa sauti moja. Tuna utitiri wa press clubs na zote ziko fragmented.
P
 
Kabla ya kipindi kumalizika, kukaibuka hoja ya waandishi kupokea bahasha, ambayo iliibua mjadala mkali kwa Aloys Nyanda kuwalipua waandishi wa Mwanza akiwamo Mansur kushikishwa kidogo dogo na Mniwasa hivyo waandishi wakaishia kuifagilia tuu badala ya kuandika shida za maji za wananchi, Nyanda akasema this is not right.

Mansour akijibu tuhuma amekiri waandishi kupokea bahasha nene na kusema hizi ni bahasha halali za posho kama posho nyingine zozote halali ambazo sio rushwa. Mansour naye akamlipua Nyanda kupokea posho nene kumsafisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliposusiwa na media baada ya uvamizi wa Clouds, Nyanda alilipiwa tiketi ya ndege na posho nene ya kujituma kwa kumtoa Mwanza hadi Dar kulikofanyika mahojiano hayo, hali iliyopelekea badala ya Nyanda kumuuliza Makonda maswali magumu, aliishia kumbeba!.
Kipindi kimekwisha.
Asante kwa kufuatilia.
Paskali
Kweli wametoleana uvivu!

Hii ya RC wa DSM enzi za uvamizi wa clouds lilimuumbua yule mtangazaji!

Na pale ndo waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari mlipoonyesha kutokuwa pamoja na kutanguliza maslahi binafsi mbele
 
Wanabodi

Matukio ya Waandishi wa Habari Kukamatwa na Polisi katika utekelezaji wa majukumu yao, yameelezwa baadhi ni uonevu tuu wa vyombo vya dola, hivyo umetolewa mwito kwa Serikali na mamlaka zake, kuacha uonevu kuwaonea waandishi wa habari, hivyo serikali imetakiwa kutenda haki kwa kuzingatia uhuru wa habari, na kuheshimu haki za binadamu.

Wito huo umetolewa kwenye mjadala wa kipindi cha "Jicho Letu Ndani ya Habari" kinachotangazwa mubashara na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi.

Kwa wenye nafasi, angalia Star TV, wengine andamana nami

P.
Lengo kuwatisha wasihudhurie mikutano yavyama upinzani
 
Nape alipoulizwa na mzee Makamba kwenye ile video kama wahariri wa magazeti watauchapisha ule waraka wa wazee wa chama alijibu "tumeshawapanga". Ndo waandishi habari wa Tz hao. "Unawapanga" tu.
 
Hilo la kuwapanga, waandishi dunia nzima wanapangwa, kama wanasiasa wanayopangwa, hadi marais, itakuwa sisi waandishi?!.
P
 
Back
Top Bottom