Waandishi wa habari, Kagera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari, Kagera

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rweye, Nov 9, 2011.

 1. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Naombeni kujuzwa ndugu wanajamvi juu ya wataalamu hawa huko mkoani Kgr..ni nini kinapelekea kuwepo kwa 'flow' ndogo ya habari kutoka kwa waandishi wa habari mlioko mkoani Kgr?mbona kuna vipindi vingi kwenye Tv zetu kama Jarida maridhawa S*TV n.k lakini huwa sioni habari yoyote kutoka Kgr?kwa niaba ya watanganyika wanaotokea Kgr tunaomba mtwambie nini hasa ni kikwazo katika hili

  Nawasilisha.
   
 2. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp nsomile uliyeukimbia mkoa unaona aibu ya kurudi nyumbani ukitegemea waandishi wakujulishe kijijini kwako wanavyolia njaa na umasikini wa miaka hamsini kupitia tv na magazeti.njoo uyaone mwenyewe
   
Loading...