Waandishi wa habari hawa huwa wanasoma wapi ?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Angalia hizo habari mbili zinazokinzana kwenye gazeti moja uku wanapinga Mbowe kutaka kila Mtanzania achanjwe.

Habari ya pili pale chini wanawaambia Watanzania wachangamkie fursa ya chanjo.

Nani uwa ananunu magazeti ya hivi? Na wanaowaajiri hawa waandishi wanawaajiri kwa vigezo gani?

Nchi hii ina shinda sana sana!

Screenshot_20210725-145616.jpg
 
Back
Top Bottom