Najijibu:
Gazeti la Sauti Huru ni la Subash Patel na Yusufu Manji! Well, sasa inakuwa rahisi kuweza kung'amua kinachoendelea.
Mkuu Invisible
Achana na kufanya kazi kwa kutumia past experience ni hatari mno,wewe soma ujumbe uuchekeche bila kuagalia nani kaandika ,ukiona ujumbe ni feki kwa mjibu wa upeo wako wa akili na iwe hivyo na ukiona unalipa na uwe hivyo.
mfano.Kama wale waumini wa siku zile wangemsikiliza Sauli(PAULO) kwa kuangalia past experience yake wala hata ktk maandiko matakatifu asingetokea.
Na hata hivyo Mimi binafsi sijaona Mengi vita yake dhidi ya mafisadi zaidi ya yeye kupaza sauti kwa yeye mwenyewe kusema napigana na mafisadi.
Swali mhimu Je? ile habari ya ITV kuhusu Mtikila waliwaomba angalau wananchi msamaha kwa kupeperusha habari ya kufoji? je? walimwomba msamaha mhusika? na je? mwandishi walimchukulia hatua zozote kama yule wa tarime alivyochukuliwa?