waandhishi wa habari na ya Jerry Muro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waandhishi wa habari na ya Jerry Muro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Apr 14, 2011.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi si mwandishi wa habari kwa taaluma lakini leo nataka niwashitue waandishiw wa Tz. sote tulimwona Jm akirusha habari zilizopelekea matrafiki kuonekana wakipokea rushwa, hatimaye Jm sasa hajui kama Mei mosi atakua uraiani au la. Ukifuatilia vizuri kuna maswali mengi ya kujiuliza. Kama vile zile pingu alinunua lini, bastola je? Nani alijua kuwa anazo? kwanini kumilikishwa kwake kuibue tafrani baada ya yeye kurusha kipindi mkakati hewani. Narudi kwenu waandishi, kuna historia kama za akina Jm duniani chungu mzima, tuna Asange pia, je, waandishi leo mnamkakati gani juu ya Jm? Kwani mwenzio akinyolewa... Wenzenu duniani hupiga kelele na kusaidiana kama tulivyoona wakati wa Asange. Je, ninyi wa Tz ndiyo mmekaa tu na kufurahia? yu wapi mwandishi wa Trailing the merchant of death? je si yeye aliye fanya uchunguzi wa kijasusi hata akaiibua kashifa ya minofu ya sangara dhidi ya silaha zilizokuwa zikiletwa east & central africa kupitia mwanza? Amkeni fanyeni juu chini ukweli wa JM uanikwe kwani kuwaachia askarihali twajua ni adui zake? HaleluYahu.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hata wakipiga kelele suala lipo mahakamani na mahakama ndio chombo chenye maamuzi kuhusu shtaka linalomkabili.Haki itatendedeka wala usihofu kwani suala la kuonyesha JM ana hatia si kazi ndogo kuiridhisha mahakama bila kuacha mashaka.subiri utaona mwenyewe na tutaujua ukweli tusihukumu kwa nje.
   
Loading...