Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,160
- 10,454
Nyengine hiyo! Ringleaders wana sepa.Weka hizo picha na sisi tuone,otherwise itakuwa maneno matupu tuu.Ma nchi ya ki communist ya ajabu sana,yaani watu wakiwa enlighted na kudai haki zao,wanalaumu western countries.Yale maandamano kule Moscow nao walisema ni USA,sijui hawa raia wa hizo nchi hawana matatizo au ni mazombi hawawezi kudai haki zao bila kununuliwa ma USA?..
Msikilize former HK Chief Prosecutor
Msikilize na hapa kwa kufahamu zaidi.