Waamua bora waishi kwa umaskini Tanzania kuliko kurudi Burundi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,237
50,401

365486-01-02.jpg

Burundian refugees await registration at the Nyarugusu camp in Tanzania.

The post-election stalemate in Burundi continues, even as the talks mediated by Ugandan President Yoweri Museveni were revived on December 28 in Entebbe.

At least 87 people were killed on December 11 in renewed attacks in Bujumbura.

On December 17, the African Union Peace and Security Council authorised the deployment of an African Prevention and Protection Mission to Burundi (MAPROBU).

The 5,000-strong force including military and police will be tasked with protecting civilians and creating the conditions for dialogue.

But there have been rising concerns over the humanitarian situation in the country, with relief organisations calling for urgent help.

The United Nations Office for the Co-ordination of Humanitarian Affairs and Unicef have warned of the displacement of people and food insecurity and the risk of a full-blown humanitarian crisis if no progress is made on the political front.

They said that children are bearing the brunt of the violence in Burundi, noting that many have been killed, wounded and arbitrarily detained, while many more are living with the constant fear of violence.

According to the United Nations High Commissioner for Refugees, more than 225,000 Burundians have fled the country since April 1, 2015 to the neighbouring countries of Tanzania, Rwanda, DR Congo and Uganda, 54.2 per cent of them being children below 17 years.

The latest Displacement Tracking Matrix (DTM) issued by the International Organisation for Migration (IOM) for the provinces of Kirundo and Makamba indicates that almost 15,000 people have been displaced internally. There have been additional reports of displacement within the city of Bujumbura.

According to the UN agencies, the figures cannot be confirmed through assessment due to the security situation in the capital and the reluctance of people to give out information for fear of being linked to a political agenda. This continues to complicate efforts by humanitarian agencies to respond to the needs of the displaced people and their host communities.

Nyarugusu camp

The EastAfrican visited the Nyarugusu refugee camp in Kasulu district in western Tanzania, where Burundians are living in deplorable conditions compounded by the ongoing rains.

On arrival at the camp, the first thing one notices is the lack of water.

The officer in charge of the camp, Sospeter Boyo, said aside from the physical trauma, at least 800 refugees at the camp have been diagnosed with psychiatric problems.

Some of the refugees say they are living with the trauma of seeing their relatives abducted and killed or going missing.

Burundi refugees live in squalor in Tanzanian camps, but they still prefer life there

Last edited by a moderator:
365486-01-02.jpg

Burundian refugees await registration at the Nyarugusu camp in Tanzania. AFP PHOTO | STEPHANIE AGLIETTI

By ELIAS MHEGERA

Posted Saturday, January 2 2016 at 18:20
IN SUMMARY

@vyuma
  • The United Nations Office for the Co-ordination of Humanitarian Affairs and Unicef have warned of the displacement of people and food insecurity and the risk of a full-blown humanitarian crisis if no progress is made on the political front.
  • They said that children are bearing the brunt of the violence in Burundi, noting that many have been killed, wounded and arbitrarily detained, while many more are living with the constant fear of violence.
  • According to the United Nations High Commissioner for Refugees, more than 225,000 Burundians have fled the country since April 1, 2015 to the neighbouring countries of Tanzania, Rwanda, DR Congo and Uganda, 54.2 per cent of them being children below 17 years.

The post-election stalemate in Burundi continues, even as the talks mediated by Ugandan President Yoweri Museveni were revived on December 28 in Entebbe.

At least 87 people were killed on December 11 in renewed attacks in Bujumbura.

On December 17, the African Union Peace and Security Council authorised the deployment of an African Prevention and Protection Mission to Burundi (MAPROBU).

The 5,000-strong force including military and police will be tasked with protecting civilians and creating the conditions for dialogue.

But there have been rising concerns over the humanitarian situation in the country, with relief organisations calling for urgent help.

The United Nations Office for the Co-ordination of Humanitarian Affairs and Unicef have warned of the displacement of people and food insecurity and the risk of a full-blown humanitarian crisis if no progress is made on the political front.

They said that children are bearing the brunt of the violence in Burundi, noting that many have been killed, wounded and arbitrarily detained, while many more are living with the constant fear of violence.

According to the United Nations High Commissioner for Refugees, more than 225,000 Burundians have fled the country since April 1, 2015 to the neighbouring countries of Tanzania, Rwanda, DR Congo and Uganda, 54.2 per cent of them being children below 17 years.

The latest Displacement Tracking Matrix (DTM) issued by the International Organisation for Migration (IOM) for the provinces of Kirundo and Makamba indicates that almost 15,000 people have been displaced internally. There have been additional reports of displacement within the city of Bujumbura.

According to the UN agencies, the figures cannot be confirmed through assessment due to the security situation in the capital and the reluctance of people to give out information for fear of being linked to a political agenda. This continues to complicate efforts by humanitarian agencies to respond to the needs of the displaced people and their host communities.

Nyarugusu camp

The EastAfrican visited the Nyarugusu refugee camp in Kasulu district in western Tanzania, where Burundians are living in deplorable conditions compounded by the ongoing rains.

On arrival at the camp, the first thing one notices is the lack of water.

The officer in charge of the camp, Sospeter Boyo, said aside from the physical trauma, at least 800 refugees at the camp have been diagnosed with psychiatric problems.

Some of the refugees say they are living with the trauma of seeing their relatives abducted and killed or going missing.

Burundi refugees live in squalor in Tanzanian camps, but they still prefer life there

Kiukweli Hawa nibinadam kama sie lakini jamaa wanajichanganya Na watu wabaya humohumo,
Tutegemee suala la ujambazi kurudia kama kipindi kile.
Rwanda wanahusika katika mgogoro huu
 
Mgogoro wao ukiisha watarudi kuijenga nchi yao ya burundi.
Hamna jinsi, itabidi wasubiri nguli Nkruziwhatever akamilishe hatamu yake, binafsi ningewashauri wamwache atawale. Miaka mitano hawawezi kufa. Hii ndio Afrika, democracy made in Africa. Kwa ajili ya amani na utulivu, unalazimika kuvumilia uongozi wowote ule.

Hao waasi wa Burundi nawaona wapuzi, hamna haja ya kuruhusu nchi iingie kwenye machafuko kwa ajili ya king'ang'anizi ambaye yuko radhi kuachia baada ya hiyo miaka mitano. Watulia tu jamani. Huyo jamaa ataumiza sana haswa sasa hivi amekingiwa kifua na Tanzania, itakua ni mwendo wa kukusanya watu kwenye manyumba yao na kuwapiga risasi.
 
Hivi kwa nini wasihamishiwe Kenya kwenye makambi ya wakimbizi ambako watakuwa na uhakika wa kupatiwa a three course MEAL na running WATER.

Ya nini kuendelea kuteseka Tanzania,wakati mmiliki wa gazeti la East African his Highness Prince Aga Khan ana uwezo mkubwa kifedha wa kuweza kuwajengea a prefab estates wakimbizi na kuwawekea maji umeme na chakula kila mwaka - sio waje Tanzania kuandika stori za kubuni tu na kujitia ujuaji - watoe misaada ya kibinadamu sio kutuletea ngonjera za kwao Kenya.
 
Last edited:
Hamna jinsi, itabidi wasubiri nguli Nkruziwhatever akamilishe hatamu yake, binafsi ningewashauri wamwache atawale. Miaka mitano hawawezi kufa. Hii ndio Afrika, democracy made in Africa. Kwa ajili ya amani na utulivu, unalazimika kuvumilia uongozi wowote ule.

Hao waasi wa Burundi nawaona wapuzi, hamna haja ya kuruhusu nchi iingie kwenye machafuko kwa ajili ya king'ang'anizi ambaye yuko radhi kuachia baada ya hiyo miaka mitano. Watulia tu jamani. Huyo jamaa ataumiza sana haswa sasa hivi amekingiwa kifua na Tanzania, itakua ni mwendo wa kukusanya watu kwenye manyumba yao na kuwapiga risasi.
Tanzania amemkingia kifua kivipi!?
 
Hivi kwa nini wasihamishiwe Kenya kwenye makambi ya wakimbizi ambako watakuwa na uhakika wa kupatiwa a three course MEAL na running WATER.

Ya nini kuendelea kuteseka Tanzania,wakati mmiliki wa gazeti la East African his Highness Prince Aga Khan ana uwezo mkubwa kifedha wa kuweza kuwajengea a prefab estates wakimbizi na kuwawekea maji umeme na chakula kila mwaka - sio waje Tanzania kuandika stori za kubuni tu na kujitia ujuaji - watoe misaada ya kibinadamu sio kutuletea ngonjera za kwao.
Kuna wakimbizi Wa kisomali kule
wanavyo ishi hawatoi lolote gazetini
 
Hamna jinsi, itabidi wasubiri nguli Nkruziwhatever akamilishe hatamu yake, binafsi ningewashauri wamwache atawale. Miaka mitano hawawezi kufa. Hii ndio Afrika, democracy made in Africa. Kwa ajili ya amani na utulivu, unalazimika kuvumilia uongozi wowote ule.

Hao waasi wa Burundi nawaona wapuzi, hamna haja ya kuruhusu nchi iingie kwenye machafuko kwa ajili ya king'ang'anizi ambaye yuko radhi kuachia baada ya hiyo miaka mitano. Watulia tu jamani. Huyo jamaa ataumiza sana haswa sasa hivi amekingiwa kifua na Tanzania, itakua ni mwendo wa kukusanya watu kwenye manyumba yao na kuwapiga risasi.
Unajua wakati mwingine unajifanya watu hawawezi kugunduwa hila zako chafu kuhusu Taifa letu,hapa unajifanya kutetea kinacho endelea Burundi kiunafiki tu tumekwisha kukusoma undani wako siku nyingi- u master of disguise wako notwithstanding, Watanzania wana uwezo wa ku smell a rat a megamiles away husitufanye mafala.

Narudi kusema wewe una chuki binafsi kuhusu Taifa letu na sijui kwa nini!!! Leo hii ukisikia Tanzania imekumbwa na machafuko utafungua Champain kusherekea ndio ulivyo,nimekuchunguza sana hulka yako najua ninachao zungumza hapa na wala sikusingizii!!

Wala hakuna haja ya kwenda mbali kudhilisha unafiki wako uliyo kubuhu - chukulia comment zako kuhusu uzi huu - anasema na hapa namunukuu"Ooh,Warundi vumilieni hivyo hivyo sasa mtafanya nini muacheni Nkuruzinza akae madarakani kwa miaka mitano huku akiendelea kuua watu usiku manyumbani mwao - Ndugu zangu warundi hamna la kufanya kwa kuwa Nkuruzinza anakingiwa kifua na kulindwa na Tanzania!!" hizo ndizo comments za ajabu za Mungiki huyu mfitini kama nini - chuki zake kuhusu Tanzania unaweza kufikiri anaongozwa na mapepo hata umukanye vipi hasikii na wala hana aibu!
 
Tanzania amemkingia kifua kivipi!?
Mkuu nimekwisha mjibu huyu jamaa sijui anasumbuliwa na mapepo gani kuhusu Tanzania hakuna hata jambo moja jema alizungumzalo kuhusu Tanzania!!We angalia habari za gazeti la East African hivi hizi ni habari za kuleta humu kwanza hazina mvuto wowote.Mkenya huyu kanakili habari hizi akitafuta kianzio/sababu ya kuisema Tanzania ndio alivyo!! We fatilia nyuzi zake au comments zake,kujifanya anaijua vizuri Tanzania kuliko Watanzania wenyewe!!
 
Wewe ulitaka akingiwe kifua na nani?
 
Hehehe!! baki ndani ya mada wacha kuhangaika na "personal attacks" huku ukitokwa na povu. Kuna watu wengi wanasoma hizi mada na huwa wanafaidika tunapojadili bila kupoteza muda mwingi tukiropokwa.

Ulimwengu wote wakiwemo umoja wa bara Uropa EU walikua wamekubaliana na kauli za AU kupeleka jeshi lake kule Burundi kuzuia umwagikaji zaidi wa damu wakati majadiliano yanaendelea. Tanzania ikapinga hilo, kati ya nchi zote duniani, Tanzania pekee yake ndio ilipinga. Nkuruziza akapata jeuri na kuanza kuongea pumba kwamba yupo tayari kupigana na hilo jeshi la AU.

AU walikua wameamua kupeleka jeshi huko, hata Nkuruziza apende asipende, na kwa ulazima. Lakini tangu Tanzania itie kifua humo na kukatalia mbali hilo wazo, AU wakabaki kimya maana hapo ingemaanisha itakua kama ile shughuli ya Syria ambapo Urusi ipo inamhifadhi Assad.

Sasa kufikia muda huu Nkuruziza kwanza keshatoa condition kule Uganda kwamba hawezi kutana na waasi. Na kwamba yeye ndiye atachagua nani wa kukutana naye. Ameweka misimamo mikali na kwa jeuri za kiajabu ajabu. Binafsi tunajua hamna lolote la kumfanya haswa sasa lazima kwanza Tanzania wabembelezwe sana ili na wao wahusike katika kumkemea na kumtishia kichapo cha AU.

Binafsi, ushauri wangu ni hao waasi waache vurugu maana hawatamweza jamaa na wataishia kuiangamiza nchi yao. Wakimbizi wanaingia Tanzania kwa maelfu, hiyo ni dhihirisho wazi kwamba hali ni noma Burundi, Nkuruziza anachinja tu. Imebaki wananchi wote wasalimu amri, watulie na kumhakikishia kwamba hawatamhoji kwa lolote, na kwamba yeye ndiye mshindi na rais. Hamna jinsi...... la sivyo watachinjwa tu, nyumba kwa nyumba hadi wakome.
 
Kiukweli Hawa nibinadam kama sie lakini jamaa wanajichanganya Na watu wabaya humohumo,
Tutegemee suala la ujambazi kurudia kama kipindi kile.
Rwanda wanahusika katika mgogoro huu
@MOTOCHINI kwa pumba, hauna mpinzani! kwani haukumbuki? ujambazi uliletwa na washikaji zako Interahamwe yaani baada ya kulikoroga Rwanda 94! kumbuka mzee Nyerere(RIP) alipoamuwa kuwapiga paranja? jiulize ni namna gani wanyarwanda waliishi hiyo mitaa kuanzia miaka ya 59 hadi 94 bila ujambazi and then all of a sudden, ujambazi! na bado unawafagilia?
Rwanda wanahusika katika mgogoro gani?
je na huyu ni polisi wa Rwanda anambwisha bomu Mrundi?

CXzQiDlW8AAINoD.jpg
 
Mkuu nimekwisha mjibu huyu jamaa sijui anasumbuliwa na mapepo gani kuhusu Tanzania hakuna hata jambo moja jema alizungumzalo kuhusu Tanzania!!We angalia habari za gazeti la East African hivi hizi ni habari za kuleta humu kwanza hazina mvuto wowote.Mkenya huyu kanakili habari hizi akitafuta kianzio/sababu ya kuisema Tanzania ndio alivyo!! We fatilia nyuzi zake au comments zake,kujifanya anaijua vizuri Tanzania kuliko Watanzania wenyewe!!
Jamaa huwa hana jema na Tanzania yeye kila kitu huwa nikibaya kilasiku, hafai kabisa
 
Majitu ya kenya niipumbavu sana wanajifanya wajuaji ilhali hawana lolote la kujivunia, wanatumia lugha ya kitumwa, hawana mshikano zaidi ya ukabila, matapeli makubwa na urafiki wao ni wa kinafiki na maslahi,, siyapendi sana
 
Hehehe!! baki ndani ya mada wacha kuhangaika na "personal attacks" huku ukitokwa na povu. Kuna watu wengi wanasoma hizi mada na huwa wanafaidika tunapojadili bila kupoteza muda mwingi tukiropokwa.

Ulimwengu wote wakiwemo umoja wa bara Uropa EU walikua wamekubaliana na kauli za AU kupeleka jeshi lake kule Burundi kuzuia umwagikaji zaidi wa damu wakati majadiliano yanaendelea. Tanzania ikapinga hilo, kati ya nchi zote duniani, Tanzania pekee yake ndio ilipinga. Nkuruziza akapata jeuri na kuanza kuongea pumba kwamba yupo tayari kupigana na hilo jeshi la AU.

AU walikua wameamua kupeleka jeshi huko, hata Nkuruziza apende asipende, na kwa ulazima. Lakini tangu Tanzania itie kifua humo na kukatalia mbali hilo wazo, AU wakabaki kimya maana hapo ingemaanisha itakua kama ile shughuli ya Syria ambapo Urusi ipo inamhifadhi Assad.

Sasa kufikia muda huu Nkuruziza kwanza keshatoa condition kule Uganda kwamba hawezi kutana na waasi. Na kwamba yeye ndiye atachagua nani wa kukutana naye. Ameweka misimamo mikali na kwa jeuri za kiajabu ajabu. Binafsi tunajua hamna lolote la kumfanya haswa sasa lazima kwanza Tanzania wabembelezwe sana ili na wao wahusike katika kumkemea na kumtishia kichapo cha AU.

Binafsi, ushauri wangu ni hao waasi waache vurugu maana hawatamweza jamaa na wataishia kuiangamiza nchi yao. Wakimbizi wanaingia Tanzania kwa maelfu, hiyo ni dhihirisho wazi kwamba hali ni noma Burundi, Nkuruziza anachinja tu. Imebaki wananchi wote wasalimu amri, watulie na kumhakikishia kwamba hawatamhoji kwa lolote, na kwamba yeye ndiye mshindi na rais. Hamna jinsi...... la sivyo watachinjwa tu, nyumba kwa nyumba hadi wakome.
you are right @MK254 hata wasikutishe lolote! wao ni kelele hapa JF mtindo mmoja... inaniuma sana kuona comments zao haziendani facts on the ground! hata mimi nilikuwa nafikiri Burundi iko peke yake kwenye mshikemshike zao, ila jana nikasikia Burundi News Agency inashirikiana na DRC kufanya doria mpakani na kwenye maji! kwa namna hii ukijumlisha na maelezo ya Kassim Majaliwa(MoF) unapata picha ya kwamba Tanzania has also officially joined the coalition of monsters(COM) kwa hiyo usijali pumba zao we jali mwelekeo wa serikali yao na wayasemayo...
 
umefanya nini nawewe
kwani wewe umefanya nini? huku kwetu kila tupatapo wakati au kakitu huwa tunaenda kuwaliwaza na kuwapa hope, hata jana Rwanda China Alumni Association ilienda kuwapa support ya vifaa na misosi, sio nyie mnao shinda mkichonga tu hapa...
abize_n_abiga_mu_bushinwa.jpg

China Alumni Association

bahawe_isukari.jpg

bahawe_televisiyo_izabafasha_kuva_mu_bwigunge.jpg

basangiye_iminsi_mikuru_n_abana.jpg
 
Back
Top Bottom