Waalimu wapya shule za msingi kuajiriwa hivi karibuni

wakuu,Jana nimesoma gazete nipashe kuwa serikali itaajiri jumla ya waalimu 13700
ndani ya mwez huu wa December,na wataripoti januari
poleni sana mliosomea diploma/degree za arts
wenzenu wa certificate soon watakula mshahara
watakuja kuwaPata hata hela ya soda
Source tafadhari
 
Wakuu, jana nimesoma gazete nipashe kuwa serikali itaajiri jumla ya waalimu 13700

Ndani ya mwez huu wa December na wataripoti Januari

Poleni sana mliosomea diploma/degree za arts

Wenzenu wa certificate soon watakula mshahara

Watakuja kuwapata hata hela ya soda
Kwel dunia inazunguka...watu wanawaponda sana uku mitaan ...sasa baada ya dhiki ni faraja
 
Wakuu, jana nimesoma gazete nipashe kuwa serikali itaajiri jumla ya waalimu 13700

Ndani ya mwez huu wa December na wataripoti Januari

Poleni sana mliosomea diploma/degree za arts

Wenzenu wa certificate soon watakula mshahara

Watakuja kuwapata hata hela ya soda
Tumekusoma mwalimu wa cheti.
 
nitaya-upload majina hayo December 18 siku ya jumaa tatu kwa sasa tunakamilisha kupanga majina
 
Back
Top Bottom