Elections 2010 Waalimu wapandishwa madaraja waliyoyadai miaka mingi!

Msongoru

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
306
24
Katika hali inayo onesha JK amejipanga kupata kura za walimu, wiki hii waalimu wamepandishwa madaraja na barua zao zimeambanishwa na fomu maalum ya kukubali ama kukataa daraja. Jambo hili halijawahi kutokea kwa mika mingi na waaliu wamekuwa na madai haya miaka nenda miaka rudi.....

Jambo hili linaonesha picha gani? Nawaaasa waalimu wasidanganyike....... maumivu watakayopata kwa miaka mitano, hayo madaraja ni kama tone baharini.
 
"Labda wamepandishwa daraja la mkapa"!

madaraja ya mishahara!!!
 
Wamepandishwa madaraja sawa,,,ila mshahara ni wazamani.

Inakubidi ufuatilia madai (areas) yako ya mishahara mipya hazina.
 
Hawa watu waweweseka asubuhi!!!

Msidanganyike hiyo ni danganya toto!!! Mtaumia!!
Vote for CHADEMA!!!!
 
Katika hali inayo onesha JK amejipanga kupata kura za walimu, wiki hii waalimu wamepandishwa madaraja na barua zao zimeambanishwa na fomu maalum ya kukubali ama kukataa daraja. Jambo hili halijawahi kutokea kwa mika mingi na waaliu wamekuwa na madai haya miaka nenda miaka rudi.....

Jambo hili linaonesha picha gani? Nawaaasa waalimu wasidanganyike....... maumivu watakayopata kwa miaka mitano, hayo madaraja ni kama tone baharini.

Hiyo ni Geresha tu. Kupanda daraja ni lingine na kupata mshahara mpya ni jambo lingine. Hiyo mishahara wataipata labda ukikaribia uchaguzi mwingine. Walimu mjitahidi mpige kura ili mlete mabadiliko.

By the way, mbona salary slip yangu ya mwezi huu inasomeka sawa na ya mwezi mei? Ina maana hata ile ilosemwa bungeni (ukiachilia mbali ile Dr Slaa alosema haikuwepo kwenye bajeti) ni danganya toto?
 
Katika hali inayo onesha JK amejipanga kupata kura za walimu, wiki hii waalimu wamepandishwa madaraja na barua zao zimeambanishwa na fomu maalum ya kukubali ama kukataa daraja. Jambo hili halijawahi kutokea kwa mika mingi na waaliu wamekuwa na madai haya miaka nenda miaka rudi.....

Jambo hili linaonesha picha gani? Nawaaasa waalimu wasidanganyike....... maumivu watakayopata kwa miaka mitano, hayo madaraja ni kama tone baharini.

Mkuu Nawafahamu walimu, nimeishi na walimu, wengine ni wadogo zangu, wengine wazazi wangu na wengine ni Rafiki zangu, walimu wamenyanyasika sana, wamedharauliwa sana, Nakwambia Walimu wa Kizazi hiki hawadanganyiki!
 
waalimu kwa wingi wao, naamini wanaweza kabisa kuleta mabadiliko! HIMA WAALIMU VOTE 4CHANGE...
 
Katika hali inayo onesha JK amejipanga kupata kura za walimu, wiki hii waalimu wamepandishwa madaraja na barua zao zimeambanishwa na fomu maalum ya kukubali ama kukataa daraja. Jambo hili halijawahi kutokea kwa mika mingi na waaliu wamekuwa na madai haya miaka nenda miaka rudi.....

Jambo hili linaonesha picha gani? Nawaaasa waalimu wasidanganyike....... maumivu watakayopata kwa miaka mitano, hayo madaraja ni kama tone baharini.

Kama hii ni kweli basi hii ni rushwa wakati wa kampeni.
 
Usije shangaa hiyo ni magumashi! Haiwezekani kupandisha vyeo na mishahara katikati ya mwaka wa fedha. Baada ya uchaguzi watakuta vyeo vyao vipya havitambuliki hazina
 
na hata akiwapandishia na kuwapa kupitia supplementary budget, huyu jamaa namjua tu ana mbinu zake za kuwakamua tena hao waalimu baada ya uchaguzi, usicheze na Mkwere ongezea na ule wimbo wa Diomond "Usanii ni fani aliyopata Toka Chuo Cha Saana Bagamoyo"
 
Back
Top Bottom