Waalimu wanastahiri kulipwa Standing allowance kama Wabunge wanavyolipwa Sitting allowance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waalimu wanastahiri kulipwa Standing allowance kama Wabunge wanavyolipwa Sitting allowance

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Yustine S.M. Baluhya, Jun 12, 2012.

 1. Y

  Yustine S.M. Baluhya New Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :glasses-nerdy:
  Kama waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanalipwa Sitting allowance ambayo ni tofauti na Mshahara, kwa nini Waalimu nao wasilipwe Standing allowance kwa kusimama wanapokuwa wanafundisha? Nashauri Bwana Mkoba na Oruochi muwe serious kama kweli munawajali wapiga kura wenu!
   
 2. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  nimeikubali 1000 per ce
   
Loading...