Waalimu wanahamishwa kutoka sekondari kwenda msingi bila malipo yoyote.

mbwe

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
1,173
2,873
Natunaini wote ni wazima humu na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu tajwa hapo juu,serikali imekuwa na tabia ya kuwaonea walimu kila siku kila mwana siasa anajipima ubavu kwa hawa ndugu zetu walimu .Jiulize Leo unamtoa mwalimu kumpeleka primary bila hata senti moja kwa madai eti ni ndani ya kata ,swali je kama huyu mwalimu alikuwa anaishi kwenye nyumba ya shule na ukampanga shule amabyo haina hata nyumba Moja ya walimu atajimudu vipi kuanza maisha mapya?yani mnawatumia Wakati Wa uchaguzi Leo hii mnawanyanyasa kwa staili hii ,kisheria huyu mwalimu alitakiwa apewe posho ya usumbufu na kujikimu Siku kumi na NNE.ngoja niishie hapa ila unyanyasaji huu kwa walimu Ipo siku utaisha tu maana uvumilivu ukipotea kifutacho ............
 
Mwalimu nenda kafundishe kwani ualimu ni wito!!
 
Endeleeni kuwa wavumilivu tu.. Maana hapo mwisho umemalizia vizuri sana.
UALIMU WITO
 
Wito bila malipo ivi unaweza kufundisha wakati huna amani ya moyo?
 
Ndio maana mkaitwa watumishi, kaz yenu ni kuwatumikia watu na mnacholipwa ni Ahsante Kwa kujitolea
Hiyo asante ndio inayoweza kulipa pango la mwalimu ,kupeleka watoto shule,kununua mahitaji ya nyumbani?
 
Afadhali hao walimu wanaohamishwa bila kulipwa kuliko wanachama wa CHADEMA wanaouawa kama panya. CCM imedhamiria kuturejesha kipindi cha ukoloni.
 
Back
Top Bottom