Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Hivi kweli waalimu wataepuka miaka 30 kama wanafunzi wenyewe wamenona hivi. Tuzidi kuwaombea waalimu waepukane na haya majaribu.
Ni kweli mkuu..Itabidi mjifanye kama hamuoni tu.Dah ni shidaa.
Walimu tuna kazi ngumu.
Kwa nini ni ngumu kuwafundisha watu wazima?? Nikajua kidogo wao wanajielewa kidogoSisi tunaofundisha watu wazima ndio shida zaidi.
Mkuu miaka 30 umeisikia lakini?? Viumbe watamu lakini hilo la kufia jela nalo liangalie vizuriUkizingatia na mishahara yenyewe bora kufaidi tu hao viumbe
Mkuu ukitegwa huchonoki..Ona toto lilivyonona hapo. Likikufukuzia hukimbii hapoNi kujiendekeza tu. Yashinde majaribu.
Hakuna namna hapo..Balaa yaani uzalendo mwalimu lazima ukushinde
Mkuu ulivyotongozwa ukafanyaje??Nyi mnasema tu jamani.
Bifasfi nimetongozwa na wanafunz Wa darasa langu.
Tena sisi walim vijana chipukizi tuna taabu sana.
Maana tunalingana nao maumbo