Waalimu wa ujasiriamali Mwanza wanahitajika

bereng

Senior Member
Feb 5, 2013
114
21
Taasisi ya tuwafikie kupitia mradi wake wa wezesha mjasiriamali inatangaza nafasi za walimu wa ujasiriamali Mkoani Mwanza wenye ujuzi wa kati ya mambo yafuatayo:-
utengenezaji wa bidhaa mbalimbali, upambaji wa sherehe, ushereheshaji, upikaji wa keki, ufugaji wa kisasa na mbinu bora za kilimo.
Tuma maombi kama una ujuzi wa kati ya hayo au mengine utaje ili upate nafasi kufanya kazi ya kufundisha wajasiriamali katika mradi ambao watakuwa waalimu ili kukidhi mahitaji ya walimu wa ujasiriamali.
Maombi yatumwe kwa email tuwafikiemwanza@gmail.com. Kumbuka kutuma namba yako ya simu kwa ajili ya mawasiliano.
 
kwa wale walimu ambao wako mikoani mnawasaidiaje kiusafiri na mambo mengineyo
halafu mm ni mtaalamu wa kutengeneza batiki na ni mshereheshaji mnatanihitaji pia?
Taasisi ya tuwafikie kupitia mradi wake wa wezesha mjasiriamali inatangaza nafasi za walimu wa ujasiriamali Mkoani Mwanza wenye ujuzi wa kati ya mambo yafuatayo:-
utengenezaji wa bidhaa mbalimbali, upambaji wa sherehe, ushereheshaji, upikaji wa keki, ufugaji wa kisasa na mbinu bora za kilimo.
Tuma maombi kama una ujuzi wa kati ya hayo au mengine utaje ili upate nafasi kufanya kazi ya kufundisha wajasiriamali katika mradi ambao watakuwa waalimu ili kukidhi mahitaji ya walimu wa ujasiriamali.
Maombi yatumwe kwa email tuwafikiemwanza@gmail.com. Kumbuka kutuma namba yako ya simu kwa ajili ya mawasiliano.
 
tuma maombi, hayo yote yatazingatiwa ktk mkataba wako wa kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom