bereng
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 114
- 21
Taasisi ya tuwafikie kupitia mradi wake wa wezesha mjasiriamali inatangaza nafasi za walimu wa ujasiriamali Mkoani Mwanza wenye ujuzi wa kati ya mambo yafuatayo:-
utengenezaji wa bidhaa mbalimbali, upambaji wa sherehe, ushereheshaji, upikaji wa keki, ufugaji wa kisasa na mbinu bora za kilimo.
Tuma maombi kama una ujuzi wa kati ya hayo au mengine utaje ili upate nafasi kufanya kazi ya kufundisha wajasiriamali katika mradi ambao watakuwa waalimu ili kukidhi mahitaji ya walimu wa ujasiriamali.
Maombi yatumwe kwa email tuwafikiemwanza@gmail.com. Kumbuka kutuma namba yako ya simu kwa ajili ya mawasiliano.