The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,890
kila kazi inahitaji weledi ili ifanyike kwa kuzingatia viwango vya kada husika tunaambiwa kuwa eti shule zimewekewa mamilioni ya pesa kwenye akaunti zao kwa bahati mbaya sana shule zetu za msingi hua haziajiri wahasibu maana yake ni kua waalimu wakuu watalazimika kufanya kazi ya uhasibu kazi ambaya hawajaisomea jambo ambalo limewaweka kwenye mtego wa hatari sana nawasihi mliangalie kwa makini