Waajiriwa wa NSSF na hatima ya fedha za wavuja jasho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waajiriwa wa NSSF na hatima ya fedha za wavuja jasho

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by steering, Dec 28, 2011.

 1. s

  steering Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  NIMETOKA SHAMBA HIVI KARIBUNI NIKAWA NA HAMU YA KUPATA KOPI YA GAZETI JIPYA LA JAMHURI. NILIKUWA NA KIU KWANI KWA MFUATILIAJI KUONA FRONT PAGE STORY, TAHARIRI NA MAKALA UNAGUNDUA GAZERTI NI LA KIMAPINDUZI AMA NI LA KULINDA MFUMO TAWALA. BADO NAENDELEA KULIFANYIA KAZI.

  GAZETI HILI AMBALO HALIJULIKANI, LINA KURASA 16 TU, AMBALO BILA SHAKA HALIJULIKANI NA WATU WENGI HATA HAPA DAR, NI WAZI KUWA NSSF KUWAPA TANGAZO LA RANGI NUSU UKURASA NI UFUJAJI HUKU MAGAZETI YALIYO NA WASOMAJI WENGI YAKIKOSA MATANGAZO.

  IMENISTHUTUA KAMA KITENGO CHA PR NSSF KINA WATU TIMAMU KWANI HADI UTOE TANGAZO KWENYE MEDIA KAMA NI RADIO, TV LAZIMA UANGALIE KITU KINACHOITWA REACH...MATANGAZO YANAFIKA SEHEMU GANI NA AKINA NANI WANASIKILIZA, KWA GAZETI NI CIRCULATION-MAUZO PAMOJA NA READERSHIP...JAMHURI NI CHANGA MMNO,,,,HALIJATIMIZA VIWANGO.


  HITIMISHO NI KUWA HAPA TANZANIA UJINGA UNALIGHARIMU SANA TAIFA. HATUTUMII TAALUMA BALI MASABURI KWA AJILI YA KUNUFAISHA MATUMBO YETU....SWALI UKIFANYA TAFITI KAMA WATU WAMELIONA TANGAZO HILO, KWELI UTAPATA MANTIKI YA KUTANGAZIA KWENYE KIPEPERUSHI HICHO.


  NB, SIMWONEI WIVU ALIYEPATA TANGAZO BALI NAWASIKITIKIA WAVUJA JASHO KWANI FEDHA IMEENDA VISIVYO HALALI. NAWASILISHA.....:tongue:
   
Loading...