Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imetoa tangazo katika website yao kwa wanaotaka kuomba mikopo kwa ajili kugharamia elimu ya juu waanze kutuma maombi.
Nimesoma tangazo hilo lenye maelezo mengi kwa waombaji ikiwa ni pamoja na mashariti ya mtu kupata mkopo. Katika mashariti hayo nimekutana section 2.2.1 inayozungumzia mashariti ya ziada (additional eligibility) ya kupata mkopo based on Graduation Period as Entry Qualification
Shariti hilo(lililoko section 2.2 1) kwa waombaji wa mikopo linasomeka kama ifuatavyo:
"For direct applicants,who for the purpose of these Guardilines means form six leavers,unless otherwise stated,will be elligible for loans if they completed their Advanced Secondary Education during the period of the last three years including the year of application(i.e between 2014 and 2016) and must have not been employed."
Kwa taarifa zaidi tembelea: www.heslb.go.tz
Haya kazi kwenu mliomaliza kidato cha sita kuanzia 2015 kurudi nyuma na mlioajiriwa ila mna ndoto za kujiendeleza kielimu kutegemea Bodi ya Mikopo.
CHADEMA kwenye ilani yao walisema elimu bure mpaka chuo kikuu na hata mgombea wa uraisi kupitia CHADEMA/UKAWA bwana Edward Lowassa nakumbuka alikwenda mbali zaidi kwa kutoa ahadi ya kufuta mikopo yote ya wanafuika wa Bodi ya Mikopo ikiwa ni ahadi yake kama mgombea uraisi.