Waajiriwa mnaotaka kujiendeleza kupata shahada ya kwanza, mtaikumbuka CHADEMA

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imetoa tangazo katika website yao kwa wanaotaka kuomba mikopo kwa ajili kugharamia elimu ya juu waanze kutuma maombi.

Nimesoma tangazo hilo lenye maelezo mengi kwa waombaji ikiwa ni pamoja na mashariti ya mtu kupata mkopo. Katika mashariti hayo nimekutana section 2.2.1 inayozungumzia mashariti ya ziada (additional eligibility) ya kupata mkopo based on Graduation Period as Entry Qualification

Shariti hilo(lililoko section 2.2 1) kwa waombaji wa mikopo linasomeka kama ifuatavyo:

"For direct applicants,who for the purpose of these Guardilines means form six leavers,unless otherwise stated,will be elligible for loans if they completed their Advanced Secondary Education during the period of the last three years including the year of application(i.e between 2014 and 2016) and must have not been employed."

Kwa taarifa zaidi tembelea: www.heslb.go.tz

Haya kazi kwenu mliomaliza kidato cha sita kuanzia 2015 kurudi nyuma na mlioajiriwa ila mna ndoto za kujiendeleza kielimu kutegemea Bodi ya Mikopo.

CHADEMA kwenye ilani yao walisema elimu bure mpaka chuo kikuu na hata mgombea wa uraisi kupitia CHADEMA/UKAWA bwana Edward Lowassa nakumbuka alikwenda mbali zaidi kwa kutoa ahadi ya kufuta mikopo yote ya wanafuika wa Bodi ya Mikopo ikiwa ni ahadi yake kama mgombea uraisi.
 
Na waliopo kazini wameambiwa wakichukua Shahada basi waende likizo bila malipo na HESLB Ndo hivyo tena!!!

Hahahaha....tulisema....
Yetu macho.....
 
Hili ni jambo ambalo litawaumiza wengi sana , asante sana mkuu Salary Slip nimeingia kwenye hiyo tovuti nimeona kwa macho yangu , Hakika kama kuna adui mkuu wa Taifa hili basi ccm ni namba 1.
 
"For direct applicants,who for the purpose of these Guardilines means form six leavers,unless otherwise stated,will be elligible for loans if they completed their Advanced Secondary Education during the period of the last three years including the year of application(i.e between 2014 and 2016) and must have not been employed."

Hapa kazi tu! Yaani kukaa nyumbani kunakuwa sharti la kujikwamua?.
Ni wangapi wako majumbani hawajaajiriwa?
 
Hili lisenge linanikera kila post oh chadema hawana ofisi, hapa wametaja ofisi
Lipotezee. Tena liambie makonda kamtangazia vita. Ajiandae kuikimbia dar. Ccm mlijenga ofisi gani zaidi ya hizi tulichangishwa kabla ya 1995? Usijesema ya kizota kwani ipo tangu Nyerere akiwa mwenyejiti 1977. Uwe unasoma historia ya chama chako.
 
Back
Top Bottom