Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

Wenzetu, mostly, wanaangalia performance with regard to your past history. Vyeti vinakuja baadae.
Itafikia muda (if at all, privatization takes full swing) mambo yakahamia Africa!
 
Ingawa hela ya benefit si kubwa lakini kuna option, kama kazi huipendi au bosi mnoko unaenda kukinga bakuli hulali na njaa.
Ukisoma kwenye link niliyoweka utaona incentives wanazotoa ni za kubwa sio kawaida. Lakini bado hawapati waomba kazi. Kwa hiyo, sio kwamba watu wanaacha kazi, ila watu HAWAJI kuomba kazi.

Hebu ona hizi incentives Sky Eclat
About 40 per cent of respondents said they offer training and skills development to attract and retain talent. A similar share reported offering flexible work schedules. Nearly a third increased wages. Others offered signing bonuses and more vacation time.
 
Wazungu wanapenda kazi za 09:00 - 17:00 Monday to Friday.
 
Ni kinyume chake mkuu. In fact wako tayari kupokea mtu yeyote kwa sababu watu hawapo kabisa. ----- chanjo mkuu imetimiza makusudi yake.
Kuna watu wanapita mitaani kuorodhesha watu wenye umri wa miaka sitini kwenda juu. Leo hii hapa Dar zoezi linaendelea, wanaoandikisha hawajui ni kwanini takwimu hizo zinakusanywa.... Kaa chojo saa mbaya!.
 
Wazungu wanapenda kazi za 09:00 - 17:00 Monday to Friday.
Sasa ndio wakose kabisa watu? Halafu hii sio trend ya miaka yote. Ime-spike tu kwa sasa. Bila shaka kama ni kupenda mida hiyo hawajaanza leo. Anyway, that is the situation.
 
Kama vipi mabalozi wa bongo wafanye Mkurabita wazee wa kuchapa kazi tuingie huko tukachape kazi na kupata hayo mafao.

Hapa bongo tunabembelezana utadhani kitu gani sijui..... Kazi watu hawataki kuajiri. Ukiingia kitaa kujiajiri hawa wadangaji (TRA na vimamlaka vingine) wanakuja kukudangia na tozo zao za kindezi.

Ukikaa home njaaa na madeni vinakubaka.... Jamani. Kwann tunaishi kwa shida hivi na huko nje watu wanatafuta watendaji.
 
Ingekuwa vizuri sana kama hali ingekuwa hivyo ndugu yangu.
Lakini huko siko dunia inakoenda.

Umoja wa Mataifa una kitu wanachoita Ajenda 2030.
Lengo la wahusika ni kuleta world government ambayo ni ya kidikteta duniani kote.
Kwa watakaokuwa wamebaki baada ya kumaliza zoezi la kupunguza watu,
Utakuwa ukifuatiliwa kwa saa 24 uliko na unachofanya.
Kisha utalipwa pesa KIDOGO TU kwa kazi utakayokuwa umepewa na umeifanya KIKAMILIFU.

Mkuu BAK hudhani kama culling the herd ni ajenda. Please, watch the following.

Ccm haitaki vijana wakasake nje ajira rejea wa dada kuzuiwa kujitafutia nje
Binti tu akiomba pasipoti apewi
 
Uzushi huu tena ULIOKUBUHU!!! Hooligans who want to scare the shit out of people they can create any NONSENSE which is based on PURE LIES! This is one of them.
Ingekuwa vizuri sana kama hali ingekuwa hivyo ndugu yangu.
Lakini huko siko dunia inakoenda.

Umoja wa Mataifa una kitu wanachoita Ajenda 2030.
Lengo la wahusika ni kuleta world government ambayo ni ya kidikteta duniani kote.
Kwa watakaokuwa wamebaki baada ya kumaliza zoezi la kupunguza watu,
Utakuwa ukifuatiliwa kwa saa 24 uliko na unachofanya.
Kisha utalipwa pesa KIDOGO TU kwa kazi utakayokuwa umepewa na umeifanya KIKAMILIFU.

Mkuu BAK hudhani kama culling the herd ni ajenda. Please, watch the following.

View attachment 1940552
 
Back
Top Bottom