mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,960
- 2,464
Habari wadau,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia namna ajira hizi za IT na computer science, katika kufuatilia kwangu nimegundua waajiri wengi ama wanakosa MTU mwenye sifa stahili kwa kazi yao au mtu ana sifa kwa vigezi vyao ila hana uwezo..
Kwanini nasema hivi...technolojia ya komputer ni teknolojia ambayo inakuwa na kutanuka kila siku..baada ya kuona inakuwa kwa kasi basi zikatokea taasisi ambazo zilijikita kwenye sehemu ndogo ndogo ili kutoa elimu ya uhakika kwenye eneo husika..mfano vyuo ama taasisi nyingi zikaikatasha hiyo IT na komputer weee katika vipande vidogo vidogo...sikuhizi MTU anasomea IT security tu, wengine Networking tu...wengine database tu...wengine system administration tu..na kadhalika...solo haliwabagui hawa watu na wamekuwa watu was muhimu sana kwasababu wamebobea katika hizo nyanja, sasa solo la tz halijui huo mnyumbuluko..unakuta kampuni inamhitaji MTU wa kusimamia website tu..halafu vigezo eti degree ya computer science...huuu ni utani..taasisi nyingine unakuta INA shida ya MTU wa security tu...kisa kigezo no degree basis inamuacha MTU mwenye uwezo aliyesomea security...unakuta bank inamhitaji MTU wa kusimamia data zao tu...ila sifa watazotaja kubwaaa kweli...wameifanya hi I nyanja kuwa ya ajabu na imezuia ubunifu wa watu..maana hata MTU mwenye internet cafe tu naye anataka mwenye degree....eti shule ya msingi inamhitaji Mwalimu wa komputer nayo sifa mwenye degree...sasa atawafundisha mini watoto kama sio kuharibu na kushusha uwezo wake tu, LAZIMA TAASISI ZIJIFUNZE KUMTAFUTA MTU SAHIHI MWENYE SIFA SAHIHI KWA KAZI SAHIHI