Waafrika waanza kufukuzwa kutoka China, hawaruhusiwi kwenye mahoteli au maeneo ya wazi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,404
Wanatuhumiwa kuwa na Corona na wanakutwa kwenye mahoteli na pia kwenye manyumbani na kufurushwa, wapo mamia nje kwenye baridi wanatafuta namna, mabalozi wa mataifa ya Afrika wameanza mchakato wa kukutana na kujadili cha kufanya.

=====
1586444229116.png

Hundreds of African residents and businessmen in China's southern city of Guangzhou have been evicted from hotels and apartments as local health officials rollout a testing campaign for Covid-19, community leaders have told the BBC.

Those evicted say they are being discriminated against.

“They are accusing us of having the virus," said Tobenna Victor, a Nigerian student in Guangzhou.

"We paid rent to them and after collecting rent they chased us out of the house. Since last night we have been sleeping outside."

"They came to my house. They told me to wait after 24 hours for the result, [but] after 24 hours nobody contacted me,” said businessman Lunde Okulunge Isidore, from the Democratic Republic of Congo.

Some residents have told the BBC that they have been evicted from their apartments, others say that they have been put into forced quarantine without knowing the results of their tests.

On Tuesday, Chinese official denied online rumours that the virus was spreading in African communities and that parts of the city where Africans reside were under lockdown.

Guangzhou is home to one of China’s largest African communities and has become a hub for African traders buying and selling goods to the continent.

There are rising concerns in China over the increase in number of imported Covid-19 cases, which authorities fear could fuel a second outbreak.

Since March, Guangzhou has required people arriving from abroad to be quarantined for 14 days.

Africans evicted from Chinese hotels over coronavirus fears

=======
Africans in Guangzhou spend second night on the streets

Scores of African students and businessmen remain on the streets of China's southern city of Guangzhou for a second night following the mass eviction of African nationals from hotels and apartment blocks.

Online rumours that the coronavirus was spreading among the thousands of Africans in the city led to door-to-door testing, evictions and accusations of forced quarantine.

"We have no house, no food, no hotel," one student from Nigeria told the BBC.

"There are up to 100 people still on the streets. People want to go back to our countries. I don’t know what the problem is with China. Everywhere that Africans live they are pushing us away.”

In an open letter penned by the All African Association of Guangzhou, community leaders called on the authorities to end the "the inhuman treatment, hatred, and outright discrimination of Africans that is currently going on in Guangzhou".

“About 10 African community leaders in Guangzhou are technically under house arrest using the term quarantine. These actions are difficult to comprehend when you consider the fact that these are people whose official test results came back negative just one or two days ago.”

In a written statement, the Nigerian embassy in Beijing said the federal government was now prepared to evacuate its citizens from China.

Thousands of Africans have been stranded in Wuhan and nearby cities close to the original Covid-19 outbreak since late January. Wednesday saw the official lifting of the lockdown in Wuhan. But this does not apply to many international students who still remain confined to their apartments.

Guangzhou is home to one of China’s largest African communities and has become a hub for African traders buying and selling goods to the continent.

Source: BBC
 
Wanatuhumiwa kuwa na Corona na wanakutwa kwenye mahoteli na pia kwenye manyumbani na kufurushwa, wapo mamia nje kwenye baridi wanatafuta namna, mabalozi wa mataifa ya Afrika wameanza mchakato wa kukutana na kujadili cha kufanya.
==================================
Kama ndivyo ilivyo,sijui viongozi wetu huwa wanajadili Nini kwenye vikao vya A.U.
Suala la namna hiyo Kama limetokea kwa,wangeita kikao Cha viongozi wa Africa na kuchukua maamuzi magumu ya kuwao kuwaondoa WACHINA wote popote walipo AFRIKA. Najua,Mambo Kama hayo yasingetendeka mbele ya wababe wa maamuzi Kama wakina Nkurumah,Nyerere,Idd Amin na viongozi wengine wa West Afrika wa kipindi hicho.

Amini nakuambia,tungeheshimika,maana matendo hayo serikali zao zinahusika vizuri tu.

Africans tunadharauliwa Sana kutokana hatuwezi kuchukua maamuzi.Bora waondoke wote na uwekezaji wao kuliko kutudharau kwa namna hiyo.
 
... na aione Bwana Utam yule mgumu wa kuamini asiyependa kuona wachina wakisemwa "vibaya". Sijui aje nabii gani ndipo mpate kuamini wachina ni wabaguzi kupitiliza!
Kwanini nisiamini narudia tena katika suala la ubaguzi hakuna mtumweupe nnaemuamini wote washenzi tuu

ila hii habari siipingi wala kuikubali

Sent using My COVID-19
 
Kama ndivyo ilivyo,sijui viongozi wetu huwa wanajadili Nini kwenye vikao vya A.U.
Suala la namna hiyo Kama limetokea kwa,wangeita kikao Cha viongozi wa Africa na kuchukua maamuzi magumu ya kuwao kuwaondoa WACHINA wote popote walipo AFRIKA. Najua,Mambo Kama hayo yasingetendeka mbele ya wababe wa maamuzi Kama wakina Nkurumah,Nyerere,Idd Amin na viongozi wengine wa West Afrika wa kipindi hicho.

Amini nakuambia,tungeheshimika,maana matendo hayo serikali zao zinahusika vizuri tu.

Africans tunadharauliwa Sana kutokana hatuwezi kuchukua maamuzi.Bora waondoke wote na uwekezaji wao kuliko kutudharau kwa namna hiyo.
Hao unaowataka wachukue hatua wengine wameingia madarakani kwa mbinu ovu za kichina.
 
Back
Top Bottom