niggarz upbaganika
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 108
- 84
Bukoba kulikuwa na bunge la wahaya. Wahaya wangekuwa mbali sana!Wakoloni walipokuja Tanzania kwa upande wa kilimanjaro walikuta kuna serikali imara ya kichaga yenye mfumo madhubuti.
Point ni kwamba tulikuwa na viongozi imara bila ukolini tungeweza kuishi kwa sheria na kanuni za kimila ila kimaendeleo mpaka sasa tungekuwa bado tuko kwenye enzi za Stone Age