Waafrika tunaiba fedha, wenzetu wanaiba teknolojia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waafrika tunaiba fedha, wenzetu wanaiba teknolojia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 11, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  sisi tunaiba fedha kutoka vyanzo mbalimbali, wenzetu wachina wanaiba teknolojia. Hivi Teknolojia na fedha kipi cha thamani!?
  Nchi za wenzetu wanatuma watu wao nchi mbalimbali duniani wakatafute teknolojia, lakini sisi tunaenda nchi mbalimbali kutafuta benki za kuficha hela tulizo iba nchini mwetu, hii ni aibu sana
  Ni muda wetu sasa kubadilika
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Waafrika tuna laana ya Yuda lskarioti
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu tatizo letu ni ubinafsi,tukiacha ubinafsi tutabadilika
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Naikumbuka verse ya pili ya Redemption Song wimbo wa Bob Marley
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wizi wa fedha unaitwa .....WIZI

  Wizi wa technologia inaitwa .....BUSARA

  Tusonge mbele tulijengee Taifa letu Busara mbalimbali tuachane na WIZI!
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha sana tena sana.

  Rais JK alisemaga eti, Watanzania acheni udokozi. Sasa nani ni mdokozi hapa?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ye ndio kuu la madokozi
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  wenzetu wamegundua kuwa teknolojia ni zaidi ya fedha. Fedha iko very liquid, lakini teknolojia inadumu
   
 9. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Yuda Iskarioti alikuwa Mwafrika au Myahudi? Wacha kututwika mizigo isiyotuhusu. Hatuna laana bali tumepungukiwa sana ubunifu. Tunataka njia za mkato badala ya kuumiza vichwa na kufanya kazi kwa bidii. Wizi, ufisadui, uvivu, ulimbukeni, n.k. ni matokeo ya mapungufu yetu.
   
 10. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Tukiendelea kuwa chini ya 'magamba' hilo haliwezekani. Nani atambadilisha nani?
   
Loading...