Waafrika tunafeli wapi? Qatar, Singapore uchumi wao ni mkubwa kuliko wetu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Yaani nchi kama Qatar, Singapore uchumi wao ni mkubwa kuliko wetu.

Hivi watanzania tuna feli wapi?

Sio wa Tanzania peke yetu, Afrika tunafeli wapi kabisa

Au sisi ndo kile kizazi cha Israeli ambacho kililaaniwa na Mungu?

Tunaweza kuwa tunaishi kumbe tayari tumeshalaaniwa.
 
Kizazi cha Israel ambacho kimelaaniwa na Mungu?

Israel = Baraka , a blessed one.
Mtu iweje abarikiwe kisha alaaniwe!
 
Tatizo watawala wa Africa ndo shida kubwa, yaani huwezi kuamini kwamba Tz ina natural resources kuliko nchi ya Ureno (Portugal) Spain Italy na nchi zote za Balkans Ila watanzania ni masikini kuliko raia wa nchi hizo zote,

Kwanini raia wenyewe wasitumie hizo rasilimali wanasubiri serikali
 
kwisha tunakopa sana tofauti na tunachoingiza, unaingiza billion 100 unaenda kukopa billion 900 kwa marejesho ya trillion 10 au 20 unategemea nini? Utasaga meno mpaka ubakie kibogoyo

Cc: Jobu Ndugai
 
Akili tunazo, ndio maana kuna mambo ya ajabu ajabu tunayafanya vizuri kabisa, ila ikija kwenye mambo ya maana sasa hadi kichefu chefu 😅😅
Basi tumepewa kidogo za kufanyia mambo ya ajabu ajabu.....mgao wa maana walipewa wengine 😁
 
Back
Top Bottom