Waafrika tuna safari ndefu sana

ANCIENT FROM EGYPT

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
868
1,023
Hii picha inaongea mengu sana.
IMG_20190212_125926_070.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetia chum

Hata kwao Ulaya wapo wanaoshinda wanahubiri

Na Hata kwetu Africa wapo wanaoshinda Maabara kufanya diagnosis za kufa Mtu

Kweli Africa tupo Nyuma Ila gap limeongezwa Chumvi

Nakumbuka Kwenye Msiba wa Mzee Nyerere 1999 Mara zote CNN wakionesha 'Nchi ya Nyerere' walikuwa wanaonesha 'vibanda umiza' vya Manzese Au wakionesha Darfur wanaonesha Vile vi Jumba vya maturubai lakin wakionesha kwao wanaonesha miji mikubwa mikubwa lakin Mungu Mkubwa kuna Siku Vimbunga vilitikisa vile Sijui Catrina ikabidi waoneshe na vimiji vyao Vingine vya Hovyo tu
 
Tutafika hata kwa mwendovwa konokono....
Chai .,Simba na kinyonga walikuwa ktk safina ya Noah !!
 
Na kweli waafrika tunasafari ndefu, inamaana kweli umekosa hata picha ya watoto waliopo shule wapo darasani hata iwe wamekaa chini au kwenye darasa la nyasi hadi kutafuta hiyo ya wanaohubiri ambapo napo hatujui kama ilikua ni kweli au maigizo? Huko kwao hakuna watoto au watu wazima walioshikilia dini?

Wamefanikiwa tujisikie duni kisha tukajidharau wenyewe, wameshamaliza kazi sisi ndio tunawasaidia ndio maana tunapigana wenyewe kwa wenyewe kwenye nchi zetu ukilinganisha na maeneo mengine duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom