Kuna mambo ya kiongo sana watu wamekaririshwa kujifariji" Eti binadam wote ni sawa"
Huu ni uongo mkubwa sana, binadam hatuko sawa hata kidogo!
Kama binadamu wote ni sawa kwanini baadhi ya watu wakifa huwa tunasema pengo lake halitazibika!
UKWELI NI HUU
Ukweli ni kwamba kuna binadam vichwa na wengne mikia, hatuko sawa kabisa!
Tena katika hao binadamu mikia bado wanatofautiana, Kuna wale mikia ya tembo na wengine mikia ya mbuzi bila kuwasahau wenye mikia ya nyani!..
Ndiyo maana wazungu walipokuja kwetu walitukuta tunacheza bao kwa mawe ya dhahabu, wakatuletea goroli tukawapa dhahabu! Unaanzaje kusema tuko sawa?
Kama binadamu wote ni sawa Kuna kiongozi mmoja alitibiwa nje kwa zaidi ya Million 800 wakati huohuo Kuna mwanachi mwingine hospital ya serikali anakosa panadol Utasemaje Tuko sawa?
"AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU?"

- Binadam aliyevumbua ndege hawezi kuwa sawa na aliyegundua chungu tunatofautiana,
- Huwezi linganisha mzungu na mbongo ukasema wako sawa,
- Huwez linganisha mmakonde na mhaya hata cku moja,
- huwez linganisha masai na mchaga hata cku moja,
- huwezi linganisha mgogo na msukuma hata cku moja,