Radio Butiama
Member
- Aug 27, 2006
- 21
- 4
- Thread starter
- #41
chinga said:
Naomba umuhoji na Mohamed Said ameandika kitabu kizuri sana cha harakati za uhuru. anafanya kazi bandari Tanga.
chinga,
nimepata contacts zake na nimeongea na mwanahistoria Mohamed Said na nitakuwa nae hewani siku ya Jumapili.Nimekipata kitabu chake cha "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924–1968): The untold story. of the Muslim struggle against British colonialism in Tanganyika" na nashauri wadau wote mkisome.Kinafungua macho sana.