miaka ya nyuma.Kitambo ni mwaka gani??
miaka ya nyuma.Kitambo ni mwaka gani??
Mbona hata hutu tunaoane tena bila sababu!??? Ukiwa naawazo na mtazamo tofauti unauwawa??? Au hujui hili??? Acha unafiki jitafakarini kwanza nyie wenyeweWAKE UP CALL!
Wakuu, kuna habari ambazo sio poa zinaendelea juu ya watu weusi huko marekani. Kitu cha kutisha na kusikitisha ni kwamba kuna tetesi kua. Illuminate a.k.a white supremists wanafanya kazi za mauaji ya watu weusi wanaoonekana wana develop power ya aina yoyote.
Kama wakuu mnakumbuka kifo cha kobe bryant kilikua kama kina utata fulani. Ile ajali ya ndege unaambiwa haikua bahati mbaya. Kile kifo chake kilipangwa kwa makusudi, ni kama alivokufa samora machelle.
Pia kama mnakumbuka kifo cha bob marley cha kufa na kansa. Nasikia kumbe ile kansa ilipandikizwa kwenye mwili wake bila yy mwenyewe kujua ikawa inamukula mudogomudogo.
Kifo cha mwisho ambacho ndo kimetokea juzijuzi na ndio kimenifanya niandike hili gazeti. Ni kifo cha CHADWICK BOSEMAN. huyu jamaa kama mnavojua ali act movie inaitwa black panther. Alikua icon kwa watu weusi kutokana na hiyo movie na ilimpa umaarufu mpaka wazungu wakawa wana muhofia. Cha ajabu huyu jamaa nae eti ghafla kafa na kansa.
Nilivoelewa game: ni kwamba wakuu, kuna spiritual war ya hatari sana inayoendelea kati ya black na white race. White people hawataki kabisa kuona black superiority/power ya aina yoyote ina rise. Huwa wanakua insecure kinoma.
Wewe unadhani ameuliwa na hao wazungu?Familia imesema ameanza ku suffer na cancer mwaka 2016. Hiyo ndo zamani?? Au ni zamani kwa waliozaliwa leo??
Mbona weusi hata tukiwa wenyewe kwa wenyewe tunauana . Au hujui hiyo mkuuWAKE UP CALL!
Wakuu, kuna habari ambazo sio poa zinaendelea juu ya watu weusi huko marekani. Kitu cha kutisha na kusikitisha ni kwamba kuna tetesi kua. Illuminate a.k.a white supremists wanafanya kazi za mauaji ya watu weusi wanaoonekana wana develop power ya aina yoyote.
Kama wakuu mnakumbuka kifo cha kobe bryant kilikua kama kina utata fulani. Ile ajali ya ndege unaambiwa haikua bahati mbaya. Kile kifo chake kilipangwa kwa makusudi, ni kama alivokufa samora machelle.
Pia kama mnakumbuka kifo cha bob marley cha kufa na kansa. Nasikia kumbe ile kansa ilipandikizwa kwenye mwili wake bila yy mwenyewe kujua ikawa inamukula mudogomudogo.
Kifo cha mwisho ambacho ndo kimetokea juzijuzi na ndio kimenifanya niandike hili gazeti. Ni kifo cha CHADWICK BOSEMAN. huyu jamaa kama mnavojua ali act movie inaitwa black panther. Alikua icon kwa watu weusi kutokana na hiyo movie na ilimpa umaarufu mpaka wazungu wakawa wana muhofia. Cha ajabu huyu jamaa nae eti ghafla kafa na kansa.
Nilivoelewa game: ni kwamba wakuu, kuna spiritual war ya hatari sana inayoendelea kati ya black na white race. White people hawataki kabisa kuona black superiority/power ya aina yoyote ina rise. Huwa wanakua insecure kinoma.
kiuhalisia wazungu wanatuchukia bt hatupaswi chukulia kila wakifanyacho ni mwendelezo wa chuki zao, mengine ni magonjwa na mipango ya mungu.Mkuu hii ilikua planned toka 2016. So walidevelop story hiyo ya kansa kwa ndugu, ili akiuliwa, basi wasene amekufa kwa kansa
Bob ni mzungu??bob marley sio mzungu???
ndioBob ni mzungu??
Tulia we kijana wa Maruku. Bob Marley was a son white father and a black mother. Katika ulimwengu wa races ukishachanganyia mzazi mmoja mweusi wewe sio mzungu bali ni mweusi. Kuna mambo mengi yanayo determine race ya mtu zaidi ya rangi ya ngozi. Ndo maana akina Drake, Fat Joe and the likes ni weupe lakini they are regarded as black.ndio
thank you!!!Bob Marley was a son white father
Unafikiri race ni sawa na kabila kwamba ukizaliwa na mwanaume mzungu basi nawe ni mzungu?? Bob alikuwa black. Periodthank you!!!
Mkuu, ukweli utakuja kuujua siku zimeenda sana.thank you!!!
Mkuu safi sana umejibu vizuri sana...yaan Africa baada ya kukaa chini na kujiuliza tutafikia vipi waliopo wenzetu eti always tunawaza kukwamishwa tu, sasa ww vifo hao watu watatu eti anakuja na conclusion kuwa wanahujumiwa, vipi black ambao wana power na wapo hai mbona haongelei, vipi white wenye power mbona wapo wanaokufa na haongeleweli, na hata ingekuwa kweli unahujumiwa still ungetakiwa ukae chini ujiulize kuwa why wao wanatuhujumu ina maana kuna maarifa wametuzidi na solution sisi kuja kulalamika....Familia yake imesema alikuwa na cancer toka zamani.
Hayo mengine ni UOGA, kujihisi KUONEWA na LAWAMA
za watu wenye asili ya Africa, ni kawaida hata humu wamo wengi.
Mkuu kwani movie ni yake au yeye ameitwa tu kama muigizaji.
Alafu unaposema wazungu wanamuhofia je unajua nani wamiliki wa hiyo kampuni iliyotengeneza hiyo movie?
Kampuni ni ya wazungu script imetungwa na hao wazungu kila kitu kimefanywa na hao wazungu.
Africans wengi walikuwa waigizaji tu.
Alafu hiyo movie ni ya comicbook na sio imeibuka tu kama bongomovie..
Fuatilia kiundani zaidi kabla ya kuja na conclusion.
Kama tatizo ni kuwa mwenye asili ya Africa basi Obama asingekuwa rais wa marekani au wangempasua fuvu lake la kichwa kwa risasi nzito ya kuulia tembo kama JK.