Mtoto anamulaumu mzazi kwa kushindwa kumuwekea mazingira mazuri ya kupata utajiri,
Mzazi naye anailaumu serikali kwa kushindwa kumuwezesha ili amuwezeshe mwanaye.
Serikali nayo inaamua kulaumu nchi zilizoendelea kushindwa kuiwezesha ili iwezeshe watu wake.
Mwisho wa siku waafrika tunakua ni watu wenye uelewa finyu na mtazamo potofu juu ya maendeleo,na ndomana waganga wa kienyeji(wapiga ramli) ni wengi kuliko waganga wa serikali katika bara letu la afrika.
Wasomi wetu vichwa vyao vimehamia tumboni badala ya kuwaza mawazo wanawaza njaa matokeo yake wanakua wala rushwa na mafisadi tu kibaya zaidi wanagombania kuongoza watu badala ya kuhudumia watu
Kisa serikali haziwajali
Mapendekezo yangu kwa watu wangu wa nguvu waafrika,ni muda sasa tuache lawama tupige kazi kwa nguvu na weledi ili kila mmoja wetu afikie ustawi unaofaa kwa kila binadamu.