Waafrika kusini wanatuonaje Watanzania tunaoishi nchini mwao, hutuona ni watu wa aina gani?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
Unavyoenda nchi za watu ni vema ukajua watu wa nchi hizo wanawaonaje watanzania ili kujua mapema hali ilivyo na kama kuna matatizo ujue mapema jinsi ya kuyakwepa au kama ni positivity uijue mapema.

Kuna dogo hapa anataka kwenda huko kusoma na hatimae kuishi huko.
 
Wanaijeria na watanzania ndio wauza madawa wakubwa south.

Ukijulikana ni mtanzania pale uwanja wa ndege kwenye Ukaguzi wanaweza hata kukuvua chupi. Mengine Ni story za kijiwen
 
Law of the land ( kamaa tudin tudaan)
Maisha ni deni na kulipa ( ulicho wafanyia wenzio, Utafanyiwa tu..
Ukiwa mwema utalipwa wema...
(Acha ajitathmini halafu achukue uamuzi)
 
Oliver Tambo mimi miaka yote napita sijawahi ulizwa hata kitu chochote labda wale jamaa wa agriculture mpaka nikajiuliza wanawakamataje hao wa madawa tofauti na Hong Kong mwafrika wanakua na mashaka makubwa sana na hasa ukipanda ET siku moja nilipata majibu baada ya Mimi kushuka nikiwa nimetokea Lusaka na muda huo huo iliingia ndege kutoka Brazil daah kulikua na mbwa wa kutosha ila bado wakasema mliotoka Lusaka chukueni beg zenu muondoke kazi ilibaki kwa hao wazee wa kazi..
 
Mkuu niaje, nataka kwenda kutafuta kazi uko,hali ikoje katika upatikanaji wa professional jobs? Mimi ni Engineer kwenye mambo ya IT .
 
Kazi SA zitakuepo mpaka kesho kwa Wataalamu tatizo inatakiwa uwepo SA mwenyewe uombe kazi ukipata unafatilia working permit hiyo kampuni wakiona wanakuhitaji wao ndio wanafatilia hayo mambo tatizo linakuja unapotakiwa kuja kutafuta kazi pesa ya matumizi na kulipa pango uwe nayo juzi nimekutana na mmalawi mmoja alikuja na vyeti vyake Kama mwaka umepita wamalawi ndio wakawa wanamsaidia ishu ya pango na yeye akawa anafunga mabox kwenye magari ya usafirishaji akipata muda anaenda internet...kapata kazi nzuri sasa hivi na machungu yote kasahau...
 
Ila degree iwe ya kweli ukija na fake watakudaka tuu Wazimbabwe wengi wapo jela kwa mtindo huo na wanigeria...
 
Mkuu vipi hii mambo ya kwerekwere ,iko serious kihivo au ni mara moja moja wanaliamsha af wanatulia ?
 
Back
Top Bottom