Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Waafrika wengi huwa tunalalama ujio wa wakoloni afrika ambao walitawala maeneo mbalimbali ya Africa. Katika elimu ya historia tunaelezwa kuwa wakoloni walitesa sana mababu zetu. Hata hivyo yapo mambo mengi tunahitaji kuwashukuru hawa wakoloni waliotutawala.
Kwa leo ningependa tuzungumzie ujio wa wakoloni afrika na kubadili mavazi ya kiafrica. Miaka ambayo wakoloni walikuja Africa walikuta jamii nyingi za kiafrika bado zinavaa magome ya miti pamoja na ngozi za wanyama.
Wa missionary waliotangulia africa waliweza kuleta utamadumi wa kuvaa ngua kama wazungu. Tuliwaiga mpaka leo tunavaa kama wao. Kwenye karne ya sasa ya utandawazi, Waafrica tunaendelea kuwaiga wazungu jinsi ya kuvaa. Sasa wanawake wa sasa wanavaa ngua tunaziita za nusu uchi. Yani zinaonesha hata sehem nyeti. Kwa mfano bikini.
Nachoshangaa unakuta mtu analaumu eti waafrica tunaiga wazungu kuvaa uchi wakati walitukuta tunavaa uchi wakatufundisha jinsi ya kustill miil yetu.
Sasa kwa mfano uyo wa bikini na wa magome ya miti ni nani yupo uchi?
Kwangu mimi huyu wa magome ya miti yupo uchi. Na jamii nyingi za kiafrica zilikuwa zikivaa hivi. Kuna haja kubwa ya kuwashukuru wakoloni walitufundisha kujua kuwa kuna sehemu muhimu za mwili zinahitaji kuwa zimefunikwa.