Waafrika 111 wagunduliwa kuwa na Corona kule mji wa Guangzhou, China

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,523
47,762
Ambapo 19 inasemekana walitoka nacho Afrika,
China imelazimika kutoa hili tamko baada ya kusemwa sana kuhusu wanachowafanyia weusi kule

======

A total of 111 Africans in China's southern city of Guangzhou had tested positive for the new coronavirus as of Monday (April 13), the Xinhua news agency said on Tuesday.

Among them, 19 were imported cases, Xinhua quoted Chen Zhiying, executive vice-mayor of Guangzhou, as saying.

A total of 4,553 African people in the city had undergone nucleic acid testing since April 4, Chen said.
China on Monday dismissed allegations by African and US diplomats that foreigners of African appearance in the city of Guangzhou were being subjected to forceful testing for the coronavirus, quarantines and ill treatment.

China's Guangzhou city says 111 Africans tested positive for coronavirus
 
Bwana Utam unayejimwambafy unachukia ubaguz unafail wapi?! Njoo umwage povu hapa? Au unasubiri habari ya US kubagua?! Usije na sound zako hapa eti weupe wote ni washenzi, hii mada inahusu china, karibu kwa mchango wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waafrika hawakutoka nje ya China wakati wa mlipuko hiyo sababu yao ya utetezi haina mashiko.
 
walikuwa wanatwambia wana zero cases, sasa leo wanadai blacks peke yao wana 111 je ukijumlisha na wachina jumla kuna cases ngapi?
Wachina wanazisongasonga data kama ugali
Nilitizama mahojiano yaliyofanya na Aljazeera na Victor Gao ambaye ni vice president of the center for China and Globalisation kuhusu racism kwa African huko China, jamaa amejibu pumba tu! Anashindwa kukataa kwa sababu ukweli upo wazi kwenye social media za kwao na wametoa mpaka vibonzo kuonyesha wa-Africa ni takataka inayotakiwa kutupwa kwenye dustbin. Anajibu mbona US nako kuna kesi za ubaguzi wa rangi.

Nukta yao kubwa wanayoitumia kubariki upumbavu wao eti kuna miongoni mwa wa-Africa walikataa kukaa karantini na kufanyiwa testing. Wakabanwa kwenye social media nyengine wakaambiwa basi nanyi hamna haja ya kusema kwenye historia zenu wa-Japan ni waovu na wabaya! Sababu hiyo hiyo mnayoitumia ya baadhi ya wa-Africa na kubariki kufanya unyama kwa jamii yote ya black basi ndiyo sababu hiyo hiyo wa-Japan waliiona kwa baadhi yenu waka justify kwa jamii ya Wachina wote na kufanya waliyoyafanya. Wanakosa majibu.

Nilichogundua: Mchina hana tofauti na mataifa mengine ya magharibi! Mchina ana ubaguzi kwa mtu mweusi halafu yeye anaona sawa kawaida tu. Shule za kwao hata kama mtu mweusi ni mzawa na ni raia awe hata wa UK hawampi kazi yoyote ya ualimu wa lugha ya kingereza! Mwalimu wa kingereza kwao ni mtu mweupe tu na kwao wanatamka bila shida! Mchina ana unconscious discrimination. Mchina bado hajastaarabika kabisa!

Kingine nilichogundua China ni jamii inayopenda kuonekana ni saint, haitambui matatizo jamii tofauti na yao ikiyaona kwao ila ni jamii nyepesi kurushia wenzao na kuona wenzea ndiyo wenye matatizo. Yaani muda wote wao wapo smart. Ajabu kuna video clip kibao zinazoonyesha ubaguzi wao dhidi ya watu weusi kwa sasa halafu serikali yao inakanusha waziwazi! Inapika data, eti watu weusi 111 wana corona baada ya vipimo ili ionekane walichokuwa wanakifanya dhidi ya watu weusi kilikuwa sahihi. Na hii miradi yao barani Africa % kubwa nafikiri ina lengo kubwa zaidi kwa China zaidi tujuavyo.
 
Wachina tekniki yao kuu ni

1.KUKANUSHA
2.KUKANUSHA
3.KUKANUSHA

Halafu kama ulivyosema kuhusu ugomvi wao na Japan, Jamaa hawana moyo wa yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kweli wajapani waliwafanyia kitu mbaya lakini wao kila kukicha kwenye television zao n drama na TV series zao ni sinema kuhusu unyama wa Japan, wanawapandikizia chuki watoto kuhusu Japan mpaka kwenye utu uzima wao.

Sasa wasipokemewa kuhusu ubaguzi wa rangi, wataharibu watu wao kwa kuwapandikizia watoto wadogo Ubaguzi dhidi ya mtu mweusi kwa kiwango cha hali ya juu mno na bila hata aibu wala hofu, na hilo litailetea dunia tension kubwa mno ya ubaguzi wa rangi uliokithiri huko mbeleni.

Kuna haja ya Waafrika kuwajua hawa watu kuwa ni opportunists, wanachojali na kuheshimu ni PESA basi.
 
Hating these yellow pigs.. Wanatafuta pa kuangushia jumba bovu
Ambapo 19 inasemekana walitoka nacho Afrika,
China imelazimika kutoa hili tamko baada ya kusemwa sana kuhusu wanachowafanyia weusi kule

======

A total of 111 Africans in China's southern city of Guangzhou had tested positive for the new coronavirus as of Monday (April 13), the Xinhua news agency said on Tuesday.

Among them, 19 were imported cases, Xinhua quoted Chen Zhiying, executive vice-mayor of Guangzhou, as saying.

A total of 4,553 African people in the city had undergone nucleic acid testing since April 4, Chen said.
China on Monday dismissed allegations by African and US diplomats that foreigners of African appearance in the city of Guangzhou were being subjected to forceful testing for the coronavirus, quarantines and ill treatment.

China's Guangzhou city says 111 Africans tested positive for coronavirus

Jr
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom