Waafrika 111 wagunduliwa kuwa na Corona kule mji wa Guangzhou, China

Bwana Utam unayejimwambafy unachukia ubaguz unafail wapi?! Njoo umwage povu hapa? Au unasubiri habari ya US kubagua?! Usije na sound zako hapa eti weupe wote ni washenzi, hii mada inahusu china, karibu kwa mchango wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaguzi wawachina upo wazi mbna ila usitumiwe kisiasa


Nb:watu weupe kuanzia wachina wamarekani na waajemi waarabu sio wakuwaamini wanajiona wao ni watu special sanaa.

Sent using My COVID-19
 
Dawa moja tu hapa waafrika tujitambue tujipange kwa mishe mishe zetu tujenge mataifa yetu hakuna kwenda UCHINA Wala Wapi
Zote hizi sababu nachanzo ni Dhiki kama sio Dhiki Haya wala yasingetokea kwahakika maana kwao tungeenda kama wanavyokuja wao kwetu sio kwaajili ya kutafta kwa njaa hapana
Ila sie tunaenda makwao kutafta kwanjaa kwakua tunawahitajia wao zaidi klko wao wanavyotuhitajia sisi tena kwa kufail wenyewe
Tunakwamia wap ?!...

Sent using My COVID-19
 
Hapa balozi anatupumbaza na hand sanitizer, kamuaahidi waziri mkuu handsanitizer nyingi, na wasiwasi zitakuwa na virus vya Corona tayari, ukijipaka umejiua.
 
Hating these yellow pigs.. Wanatafuta pa kuangushia jumba bovu

Jr
China ni ndugu zetu kabisa, tuwavumilie tu wafanye watakavyo kwa sasa, lakini baada ya muda mambo yatakuwa sawa tu.
Kikubwa ni kuwavumilia. Au kwa kipindi hiki ambacho wanaonekana kughafirika kidogo ni vizuri wasfrika waepuke kwenda China kwa sasa na badala yake waelekee kwenye nchi za Afghanistan, Iran na Russia. Ndugu zetu wachina wakitulia tutarudi tena kwao.
 
Nilitizama mahojiano yaliyofanya na Aljazeera na Victor Gao ambaye ni vice president of the center for China and Globalisation kuhusu racism kwa African huko China, jamaa amejibu pumba tu! Anashindwa kukataa kwa sababu ukweli upo wazi kwenye social media za kwao na wametoa mpaka vibonzo kuonyesha wa-Africa ni takataka inayotakiwa kutupwa kwenye dustbin. Anajibu mbona US nako kuna kesi za ubaguzi wa rangi.

Nukta yao kubwa wanayoitumia kubariki upumbavu wao eti kuna miongoni mwa wa-Africa walikataa kukaa karantini na kufanyiwa testing. Wakabanwa kwenye social media nyengine wakaambiwa basi nanyi hamna haja ya kusema kwenye historia zenu wa-Japan ni waovu na wabaya! Sababu hiyo hiyo mnayoitumia ya baadhi ya wa-Africa na kubariki kufanya unyama kwa jamii yote ya black basi ndiyo sababu hiyo hiyo wa-Japan waliiona kwa baadhi yenu waka justify kwa jamii ya Wachina wote na kufanya waliyoyafanya. Wanakosa majibu.

Nilichogundua: Mchina hana tofauti na mataifa mengine ya magharibi! Mchina ana ubaguzi kwa mtu mweusi halafu yeye anaona sawa kawaida tu. Shule za kwao hata kama mtu mweusi ni mzawa na ni raia awe hata wa UK hawampi kazi yoyote ya ualimu wa lugha ya kingereza! Mwalimu wa kingereza kwao ni mtu mweupe tu na kwao wanatamka bila shida! Mchina ana unconscious discrimination. Mchina bado hajastaarabika kabisa!

Kingine nilichogundua China ni jamii inayopenda kuonekana ni saint, haitambui matatizo jamii tofauti na yao ikiyaona kwao ila ni jamii nyepesi kurushia wenzao na kuona wenzea ndiyo wenye matatizo. Yaani muda wote wao wapo smart. Ajabu kuna video clip kibao zinazoonyesha ubaguzi wao dhidi ya watu weusi kwa sasa halafu serikali yao inakanusha waziwazi! Inapika data, eti watu weusi 111 wana corona baada ya vipimo ili ionekane walichokuwa wanakifanya dhidi ya watu weusi kilikuwa sahihi. Na hii miradi yao barani Africa % kubwa nafikiri ina lengo kubwa zaidi kwa China zaidi tujuavyo.
Huku huku kwetu Africa kuna case kibao za wachina kuwanyanyasa watu wetu kwa kuwachapa viboko kama wanyama..,Sasa unategemea jitu kama hilo likiwa kwao linakuaje?,Litakuwa libaguzi tu lazima.Kama ulivyosema,machina hayajastaharabika kabisa.Sasa siku watapokuja kuwa sole super power na kuitawala dunia,Dunia itapata shida kubwa sana.Sababu majama hayajali Imani ya mtu,yako uncivilized,Yanachojali ni Pesa tu.
 
Ubaguzi wawachina upo wazi mbna ila usitumiwe kisiasa


Nb:watu weupe kuanzia wachina wamarekani na waajemi waarabu sio wakuwaamini wanajiona wao ni watu special sanaa.

Sent using My COVID-19
🤣🤣🤣 Hayo ya wazungu, waarab tunayajua, bweka bweka basi kuhusu hili tu linaloendelea china kwa sasa make ndo habari iliyopo
 
IMG-20200415-WA0010.jpg
IMG-20200415-WA0000.jpg


Wachina katika hili wamekosa logic kabisa!! Wanamshukia Mh. Zitto kisa kuanika wanayoyafanya kwa Waafrika. Halafu wanamajibu mepesi kabisa ya kindezi.

Missile of the Nation
SirChief
Fundi
 
Work hard until it pains because poverty hurts much more.

Waafrika tumepewa ujumbe maalumu na wachina.
 
Nilichogundua: Mchina hana tofauti na mataifa mengine ya magharibi! Mchina ana ubaguzi kwa mtu mweusi halafu yeye anaona sawa kawaida tu. Shule za kwao hata kama mtu mweusi ni mzawa na ni raia awe hata wa UK hawampi kazi yoyote ya ualimu wa lugha ya kingereza! Mwalimu wa kingereza kwao ni mtu mweupe tu na kwao wanatamka bila shida! Mchina ana unconscious discrimination. Mchina bado hajastaarabika kabisa!
Hiyo ya kufundisha kiingereza ni kweli kabisa, wako radhi mzungu mjerumani mwenye lafudhi nzito afundishe kiingereza kuliko mwingereza mzawa mweusi. Pia inaonekana wanafundishwa kudharau waafrika toka wakiwa watoto.

kuna mchina nilibishana nae mitandaoni mpaka nikawa namshangaa. Alikuwa anasema lile daraja la Nyerere ni msaada wa China, tumejengewa. Waafrika hatuna uwezo wa kujenga daraja kama lile. Nikamwambia usadifu wa daraja umefanywa na Tanroad na pesa za ujenzi zote ni za NSSF, wachina tumewaajiri kujenga tuu. Jamaa akawa anabisha, tulibishana sana mpaka akasepa.

Ndiyo maana Magu huwa kila akipata nafasi anasema, "nipesa zetu", "hawa tumewaajiri", hii yote ni kutukumbusha watanzania kujiamini.
 
Back
Top Bottom