Waafrica waanza kuelewa mchezo mchafu wa nchi za magharibi

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,634
Kwa kutumia media na influence ambazo zimekua nazo nchi za magharibi imekua ni rahisi wao kuvuruga au kuangusha utawala wowote ule wa nchi masikini au zinazoendelea

Mfano:libya
Hiizi ni baadhi tu ya comment za waafrica ambao wanaelewa

View attachment 1248392
Screenshot_2019-10-29-20-16-51-81.jpeg

View attachment 1248394
View attachment 1248395
Screenshot_2019-10-29-20-17-31-68.jpeg

Hii n baada ya bbc kutangaza kua tanzania hakuna uhuru wa habari... KITU AMBACHO NAONA KAMA NI UONGO /MBINU KWA KUSHINDWA KUPENYEZA MAMBO YAO

Sasa najiuliza kama ni kweli wazungu wanatutakia mema au wanatupenda sana
1.Ilikuaje tupiganie uhuru wetu na wao hawakuona kua tunastahiri... Apa refer nchi zote zilizopgania uhuru dhidi ya german,France na british n. K


2.Kwann wanaendelea kutugandamiza n kutulazimisha kusaini mikataba ya hasara.. Lakin hawakuwai tangaza bbc

3.Mauaji mengi wanaopinga ukoloni mambo leo au unyonyaji n hayatangazwi bbc
4.report za uongo ili kushusha au kuchafua nchi za africa
Refer IMF report ya tz ambayo baadae walikiri s ya kweli
Who report on ebola

na zinginezo nyingi kwa kupitia hizi international organisation

Ongeza na zako
#the day you start depends on your enemies tactics is the day you are defeated for good

HOJA PANDE ZOTE ZINAKAMILISHWA..
"Freeman"
 

Attachments

  • Screenshot_2019-10-29-20-17-49-80.jpeg
    Screenshot_2019-10-29-20-17-49-80.jpeg
    49.7 KB · Views: 1
Hao wanaongea kwakua wako nje yaserikali za kiafrika

Wakiingia ulizeni prof paramagamba kabudz
 
Back
Top Bottom