Waacha kazi kwa kukosa mtandao wa simu za mkononi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waacha kazi kwa kukosa mtandao wa simu za mkononi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KiuyaJibu, Sep 11, 2009.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Baadhi ya walimu wapya katika shule ya sekondari ya Amani Abeid Karume wilayani Kondoa,mkoani Dodoma wameacha kazi kutokana na kukosekana kwa mtandao wa simu za mkononi.

  Akitoa taarifa ya shule hiyo kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma,Dk.James Msekela;mkuu wa shule hiyo Juma Hinte alisema walimu walioacha kazi ni watatu.

  Alisema walimu hao waliopangwa kufundisha shuleni hapo katika kata ya Bahi,waliacha kazi wakidai kuwa hakuna mawasiliano ya mtandao wa simu za mkononi na kwamba wanashindwa kuwasiliana na jamaa zao.
   
Loading...