Waabongo Tuache Ubishi Usio Na Maana!!!!!

XINGLUX

Member
Mar 31, 2008
17
1
Kuna Baadi Ya Watu Utakuta Unamwambia Kuwa Usifanye Jambo Fulani Lakini Wanakuwa Wabishi Vibaya Sana
Mfano Mzuri Ni Katka Internet, Mtu Anaweza Akakueleza Muda Wako Umeisha But Mtu Unae Mwambia Anabaki Anakushangaa Tuu Au Atakwambia Anmalizia Sasa Kasheshe Inakuja Usijaribu Kumruhusu Atang`ang`ania Utazania Nini?
Manake Atataka Kukaa Zaidi Ya Nusu Saa Zaidi Kisa Mempa Muda Wa Kumalizia Wabongo Tuache Hizo Hasa Wanawake Utakuta Anabembeleza Ukimruhusu Anasumbua Kama Ndio Unamtaka Vile
Jamani Tubadilike Sawatuache Ubishi Tujaribu Kutumia Busara Tulizopewa Ingawa Kila Binadamu Huwa Na Mawazo Yake Binafsi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom