Wa ukweli anapokutanishwa na kazi ya nje.......

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,222
2,925
Habari zenu wapendwa,hiki kisa kimemtokea clacment wangu wa kike jana, yeye ana boyfriend wake wa siku nyingi tu tangu chuon, ila ana katabia kakumchanganya na vimeo vyake(kazi za nje), bf wake alisafiri kikazi tangu jtatu na alimwambia anarudi kesho jmoc, bishost kama kawa jana akapata kazi ya nje mida ya lunchtime wakakubaliana watatoka jion coz anajua jamaa hayupo, basi jion wakawa wametoka wako mahali wanapata vinywaji kumbe bf wake karudi bila taarifa na jion ile kamfata kwao na akakaa bar ya jiran na kumtumia msg amfate pale,shost alipopa ile msg akachanganyikiwa na akawa amechenji gafla mshikaji akamuuliza vp akamwambia anatakiwa nyumban haraka akamwambia poa twende nikupeleke wakiwa njian bf wake akapiga simu baada ya kuona mda unaenda,akawa anaikata coz hawezi kupokea mbele ya mshikaji na alimwambia yuko single, jamaa kuona vile akaichukua ile cm ya shost na kupekua akukuta zile msg za bf wake jamaa akaanza kuchati na mume mwenzie akamwelekeza alipo wakenda na shost mpaka pale alipokaa wakakaa shost hapo anasema alikuwa hoi hajui hata atawaambia nn, baada ya salamu yule jamaa akamwambia shost atoe utambulisho hapo ndio kazi ilianza akamtambulisha bf kuwa ni x wake na yule mshikaji ndio wasasa huku machozi yamejaa uso mzima,so yule mshikaji akanyanyuka na kurudi kwenye gari na kumwacha shost na bf wake na kumwambia anamsubiri kwenye gari,shost anasema hawakuongea kitu na bf wake kila mtu akanyanyuka na kuondoka na yeye hakuenda kwenye gari akazima cm na kuingia uchochoron na kurudi hm, sasa hajui cha kufanya kaharibu kote, anashindwa kuwasha cm kapagawa hajui cha kufanya,anahitaji ushauri afanyeje!
 
Saves her right! kusema kweli anastahili hii kadhia.Yashanikuta sana haya,mwache aipate fresh.Imagine li mwanamke unalipenda unalinunulia gari,kwao misaada kede kede unapeleka,kodi ya nyumba unamlipia,duka unamfungulia na nauli ya kwenda Guanzhou juu,kisha anakugonganisha na kanjemba tena kajamaa kenyewe kachoooovu,kha kinamama sa ingine mnakera mpaka natamani niwatafune niwameze!
 
Bishanga ndio yashamtokea tena,na amepata fundisho afanyeje sasa?
 
wewe na rafiki yako wote mcharuko...
na umeona kabisa hili ni jambo la kuja kuomba ushauri??????
Nimekosa cha kumshauri ndio maana nimekuja kuliza hapa, kama una ushauri toa kama hauna wasalimie!
 
wewe na rafiki yako wote mcharuko...
na umeona kabisa hili ni jambo la kuja kuomba ushauri??????

tatizo wanaume nao hawaeleweki mara kakuacha leo baada ya mwezi kakurudia fujo mtindo mmoja ndo maana wanawake hawajui wapi panafaa wanabaki wanarukaruka tu ....hapo hakuna cha mcharuko wala nini
 
Hapo unataka ushauri gani?. Mwambie ani pm nimpoze. Ukicheche wake umemponza. Pumbafu zake. Hana adabu. Wananikera sana hawa wanawake.
 
hawa jamaa wote ni boyfrend tuu hamna mume hapo...so hapa chakufanya ni kuwasha simu yake akubali kuwa kalikoroga na hivyo basi asiwe na uhusiano wowote na hawa majaa. mchezo umekwisha....hajaolewa na yoyote na ukingia kwenyegf/bf relationship hiyo ndio risk. atulie pembeni tuu
 
Hapo unataka ushauri gani?. Mwambie ani pm nimpoze. Ukicheche wake umemponza. Pumbafu zake. Hana adabu. Wananikera sana hawa wanawake.
Yeye sio member humu,afanyeje kwa haya yaliyomkuta ili awe na amani maisha yaendelee?
 
hawa jamaa wote ni boyfrend tuu hamna mume hapo...so hapa chakufanya ni kuwasha simu yake akubali kuwa kalikoroga na hivyo basi asiwe na uhusiano wowote na hawa majaa. mchezo umekwisha....hajaolewa na yoyote na ukingia kwenyegf/bf relationship hiyo ndio risk. atulie pembeni tuu
Asante kwa ushauri mzabzab.
 
Nyie Wanawake Mwalimu wenu ni nani? Mbona mnapenda kuweka tamaa mbele kuliko utu? Mshauri aache tamaa maana ngoma ni hatari zaidi ya kibuti.
 
Hapo ndo naona umehimu wa kuwa na kile kifaa alichopanda nacho Rage jukwaani kule Igunga.
 
Back
Top Bottom