Wa ukweli anapokutanishwa na kazi ya nje.......

nadhan huyo atakuwa amejifunza vya kutosha,na sidhani kama ataweza kurudia kufanya kitu cha design hiyo tena.....................

sasa hivi atulie tu then atambue kuwa alifany makosa na hatakiw kurudia tena awe mwangalifu maana next tyme wanaume wengine ni noooma ungeweza kutolewa shoo ya mbele yote.............
 
kwanza nashangaa kwa nini hukumchapa makofi maana alichofanya ni ujinga na upumbavu .. mtafte umchape makofi na hafai kuwa hata rafiki

Punguza hacra mdau,maumivu aliyonayo ni zaidi hata ya makofi,anatumikia adhabu ya uovu wake kwa sasa!
 
tatizo wanaume nao hawaeleweki mara kakuacha leo baada ya mwezi kakurudia fujo mtindo mmoja ndo maana wanawake hawajui wapi panafaa wanabaki wanarukaruka tu ....hapo hakuna cha mcharuko wala nini

Nawe yaleyale msimamo sifuri kwani ukishaachana na m2 kurudiana naye si mapenzi yako mwenyewe kwani analazimisha akhaaaa ama kweli mnapelekwa puta
 
nadhan huyo atakuwa amejifunza vya kutosha,na sidhani kama ataweza kurudia kufanya kitu cha design hiyo tena.....................

sasa hivi atulie tu then atambue kuwa alifany makosa na hatakiw kurudia tena awe mwangalifu maana next tyme wanaume wengine ni noooma ungeweza kutolewa shoo ya mbele yote.............

La kuvunda halina ubani wewe jasiri haachi asili
 
Kuzima simu ni kipimo cha ujinga,,awashe simu then waingie kwenye maridhiano,,,atakaeonyesha kihelehele cha kusamehe amshikilie huyohuyo. suluhu ikikosekana basi aendelee na maisha maana hajapoteza uhai!
 
haa! Ningejifanya bubu!
Au ningeongea lugha isiyoeleweka kwa kufoka halafu nasimama nakimbia
 
haa! Ningejifanya bubu!
Au ningeongea lugha isiyoeleweka kwa kufoka halafu nasimama nakimbia

Ha ha ha,c ya kucheka ila umenichekesha sn mkuu,hope umesema hivyo coz upo ktk hali ya kawaida,mwenyewe anasema ctuation ilikua ngumu sn kiac kwamba akili ilikufa ganzi hata angeulizwa jina nale hadhan km angelikumbuka!
 
Back
Top Bottom