Wa ukweli anapokutanishwa na kazi ya nje.......

bora umemjibu vizuri.....nilitaka kujibu hivi hivi ila in a more rude way...
Kuna wa2 sometimez wana2fanya 2take kugombana na ma keyboard ze2
Pole punguza hasira hicho ni kitendea kazi chako usigombane nacho!
 
Ningekua mimi ningejifanya kuanguka nakuzimia hapohapo kwanza ili nistoe jibu lol.
Mwenyewe anaema akili isizi kiasi kwamba angeulizwa hata jina la baba yake asingeweza kukumbuka!so ctuation ilikuwa tite!
 
Kwa kuwa ni Boy Friends and not Nather Houses, afute uhusiano na wote hao maana hawatamwamini tena, na kuanza uhusiano mpya na mwingine. Lkini kaitk amaisha yake akumbuke "kosa si kutenda kosa, bali ni kurudia kosa".
 
Asante kwa ushauri mdau.
 
Mwenyewe anaema akili isizi kiasi kwamba angeulizwa hata jina la baba yake asingeweza kukumbuka!so ctuation ilikuwa tite!

Cha msingi aachane na hizo kazi zake za udeiwaka, ili asizoee akaja olewa akashindwa kuvumilia, akawa anatoroka anaenda kupiga hizo anazoita kazi za nje.
 
Cha msingi aachane na hizo kazi zake za udeiwaka, ili asizoee akaja olewa akashindwa kuvumilia, akawa anatoroka anaenda kupiga hizo anazoita kazi za nje.
Japo ni ngumu kuusemea moyo wa mtu, ila kwa hali ilivyo cdhani kama atarudia tena!
 
kila kitu kina malipo yake na hayo ndyo matunda ya usalit,hivi mkoje nyie kwa nn hamtosheki ya wenzi wenu?mm inanikera sana tabia hii
 
Nimekosa cha kumshauri ndio maana nimekuja kuliza hapa, kama una ushauri toa kama hauna wasalimie!

kwanza nashangaa kwa nini hukumchapa makofi maana alichofanya ni ujinga na upumbavu .. mtafte umchape makofi na hafai kuwa hata rafiki
 
bila shaka ana wengine ukiacha hao qaili so mwambie akumbuke makoloni yake ya zamanl
 
Wadau wa MMU mmenichekesha sana na comments zenu. Yani mwanamke akichiti mnakuwa wakali.

Ikiletwa topic ya vimada mnasema they are there to stay.
 
Back
Top Bottom