Wa ukweli anapokutanishwa na kazi ya nje.......

Mh best huyo mtu sio wewe kweli, afu unatuzuga rafkiako. Kama wewe acha kuchanganya mambo, kwani mwisho wasiku hutajua alie serious na wewe ni nani. Matokeo yake utaangukia pua.
 
Mh best huyo mtu sio wewe kweli, afu unatuzuga rafkiako. Kama wewe acha kuchanganya mambo, kwani mwisho wasiku hutajua alie serious na wewe ni nani. Matokeo yake utaangukia pua.
Mamushka ingekuwa mie nigejianika tu,yangu niliiposti juzi yamenifika ila sio ya hivi mkuu, asante ujumbe umefika.
 
Saves her right! kusema kweli anastahili hii kadhia.Yashanikuta sana haya,mwache aipate fresh.Imagine li mwanamke unalipenda unalinunulia gari,kwao misaada kede kede unapeleka,kodi ya nyumba unamlipia,duka unamfungulia na nauli ya kwenda Guanzhou juu,kisha anakugonganisha na kanjemba tena kajamaa kenyewe kachoooovu,kha kinamama sa ingine mnakera mpaka natamani niwatafune niwameze!

Mkuu kugharamia sio ishu, inshu ni unamfikisha?
though kwa baadhi ya wadada unaweza ukatoa kila kitu na ufanisi A++ but still akapeleka nje, wanakera hawa sometimes
 
sasa hapo nani kimeo?bf au gf?alikutwa na mzigo wa wizi ndio mwizi!!!malaya tu huyo,amelikuroga na alinywe hana msaada!!af nampenda wanaume sisi wa siku hizi,hatupigani tena ndio wanakuwa marafiki wakubwa wakishakutema
 
habari zenu wapendwa,hiki kisa kimemtokea clacment wangu wa kike jana, yeye ana boyfriend wake wa siku nyingi tu tangu chuon, ila ana katabia kakumchanganya na vimeo vyake(kazi za nje), bf wake alisafiri kikazi tangu jtatu na alimwambia anarudi kesho jmoc, bishost kama kawa jana akapata kazi ya nje mida ya lunchtime wakakubaliana watatoka jion coz anajua jamaa hayupo, basi jion wakawa wametoka wako mahali wanapata vinywaji kumbe bf wake karudi bila taarifa na jion ile kamfata kwao na akakaa bar ya jiran na kumtumia msg amfate pale,shost alipopa ile msg akachanganyikiwa na akawa amechenji gafla mshikaji akamuuliza vp akamwambia anatakiwa nyumban haraka akamwambia poa twende nikupeleke wakiwa njian bf wake akapiga simu baada ya kuona mda unaenda,akawa anaikata coz hawezi kupokea mbele ya mshikaji na alimwambia yuko single, jamaa kuona vile akaichukua ile cm ya shost na kupekua akukuta zile msg za bf wake jamaa akaanza kuchati na mume mwenzie akamwelekeza alipo wakenda na shost mpaka pale alipokaa wakakaa shost hapo anasema alikuwa hoi hajui hata atawaambia nn, baada ya salamu yule jamaa akamwambia shost atoe utambulisho hapo ndio kazi ilianza akamtambulisha bf kuwa ni x wake na yule mshikaji ndio wasasa huku machozi yamejaa uso mzima,so yule mshikaji akanyanyuka na kurudi kwenye gari na kumwacha shost na bf wake na kumwambia anamsubiri kwenye gari,shost anasema hawakuongea kitu na bf wake kila mtu akanyanyuka na kuondoka na yeye hakuenda kwenye gari akazima cm na kuingia uchochoron na kurudi hm, sasa hajui cha kufanya kaharibu kote, anashindwa kuwasha cm kapagawa hajui cha kufanya,anahitaji ushauri afanyeje!

huu ni mcharuko tena wa kizaramo......!
 
sasa hapo nani kimeo?bf au gf?alikutwa na mzigo wa wizi ndio mwizi!!!malaya tu huyo,amelikuroga na alinywe hana msaada!!af nampenda wanaume sisi wa siku hizi,hatupigani tena ndio wanakuwa marafiki wakubwa wakishakutema
Hapa kimeo ni gf coz yeye ndio aliwachanganya,asante kwa ushauri.
 
Bishanga ndio yashamtokea tena,na amepata fundisho afanyeje sasa?

Canta,to be honest,huyo so called rafiki yako
sounds to me like a two bit harlot.I know her type nshakutana nao sana.Kusema kweli wala hafai kuwa rafiki yako achilia mbali kuwa na sifa za kuwa mke mwema.Mwache aendelee kuogelea kwenye beseni la mafuta ya moto,msiba wa kujitakia huo.
 
Mkuu kugharamia sio ishu, inshu ni unamfikisha?
though kwa baadhi ya wadada unaweza ukatoa kila kitu na ufanisi A++ but still akapeleka nje, wanakera hawa sometimes

f....ck her,nimfikishe nimekuwa treni au airbus?aende zake huko,kafanya two timing imekula kwake,tena akome kabisa.
 
wewe na rafiki yako wote mcharuko...
na umeona kabisa hili ni jambo la kuja kuomba ushauri??????

bora umemjibu vizuri.....nilitaka kujibu hivi hivi ila in a more rude way...
Kuna wa2 sometimez wana2fanya 2take kugombana na ma keyboard ze2
 
Hapo ndo naona umehimu wa kuwa na kile kifaa alichopanda nacho Rage jukwaani kule Igunga.

hahahahhahhahah kwahiyo jamaa angekua na RAGE karibu angem DITOPILE the female dog....hahaha ccm kwaku mek hedlines za ki MASABURI hawajambo
 
Mi naona amepata alichostahili. Hamna haja ya ushauri hapo zaidi ya kuanza upya maisha. Nyambafu zake
 
alipokuwa anatambulisha hakuona hata aibu............bora aachane na hao maBF..........ajifunze kutokana na makosa
 
Habari zenu wapendwa,hiki kisa kimemtokea clacment wangu wa kike jana, yeye ana boyfriend wake wa siku nyingi tu tangu chuon, ila ana katabia kakumchanganya na vimeo vyake(kazi za nje), bf wake alisafiri kikazi tangu jtatu na alimwambia anarudi kesho jmoc, bishost kama kawa jana akapata kazi ya nje mida ya lunchtime wakakubaliana watatoka jion coz anajua jamaa hayupo, basi jion wakawa wametoka wako mahali wanapata vinywaji kumbe bf wake karudi bila taarifa na jion ile kamfata kwao na akakaa bar ya jiran na kumtumia msg amfate pale,shost alipopa ile msg akachanganyikiwa na akawa amechenji gafla mshikaji akamuuliza vp akamwambia anatakiwa nyumban haraka akamwambia poa twende nikupeleke wakiwa njian bf wake akapiga simu baada ya kuona mda unaenda,akawa anaikata coz hawezi kupokea mbele ya mshikaji na alimwambia yuko single, jamaa kuona vile akaichukua ile cm ya shost na kupekua akukuta zile msg za bf wake jamaa akaanza kuchati na mume mwenzie akamwelekeza alipo wakenda na shost mpaka pale alipokaa wakakaa shost hapo anasema alikuwa hoi hajui hata atawaambia nn, baada ya salamu yule jamaa akamwambia shost atoe utambulisho hapo ndio kazi ilianza akamtambulisha bf kuwa ni x wake na yule mshikaji ndio wasasa huku machozi yamejaa uso mzima,so yule mshikaji akanyanyuka na kurudi kwenye gari na kumwacha shost na bf wake na kumwambia anamsubiri kwenye gari,shost anasema hawakuongea kitu na bf wake kila mtu akanyanyuka na kuondoka na yeye hakuenda kwenye gari akazima cm na kuingia uchochoron na kurudi hm, sasa hajui cha kufanya kaharibu kote, anashindwa kuwasha cm kapagawa hajui cha kufanya,anahitaji ushauri afanyeje!

Mshauri amshukuru Mungu wake kwa kumkutanisha na wanaume waungwana. Vinginevyo sasa hivi angekuwa anauguza ngeo, manundu na miguu iliyoteguka MOI.
 
Canta,to be honest,huyo so called rafiki yako
sounds to me like a two bit harlot.I know her type nshakutana nao sana.Kusema kweli wala hafai kuwa rafiki yako achilia mbali kuwa na sifa za kuwa mke mwema.Mwache aendelee kuogelea kwenye beseni la mafuta ya moto,msiba wa kujitakia huo.
Asante mkuu umesomeka.
 
Mshauri amshukuru Mungu wake kwa kumkutanisha na wanaume waungwana. Vinginevyo sasa hivi angekuwa anauguza ngeo, manundu na miguu iliyoteguka MOI.
Nakweli na kwa uungwana wa wale jamaa mwenyewe hakuamini km katoka pale mzima na anamshukuru mungu kwa hilo.
 
alipokuwa anatambulisha hakuona hata aibu............bora aachane na hao maBF..........ajifunze kutokana na makosa
Kwa namna alivyokuwa amebanwa ilikuwa lzm atoe utambulisho kwa namna yoyote,asante kwa ushauri mkuu.
 
Back
Top Bottom