Wa Tz wenye asili ya asia wakataa sindano za polio!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa Tz wenye asili ya asia wakataa sindano za polio!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdraze, Nov 11, 2011.

 1. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Watanzania wenye asili ya asia jijini mwanza walikataa kuwapeleka watoto wao kuchoma sindano ya polio kwa sababu zisizofahamika!! Nikajiuliza inawezekana zina madhara kwa watoto wetu au wao ndo hawajui umuhimu wake?..source habari Tbc taifa
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kama ni 'sindano'ya polio hata mimi ningekataa kwa sababu nimezoea matone ya polio.
   
 3. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  ni matone mzee!nadhani kapitiwa tu. Hivi mnafahau hawa wahindi watoto wao wanapataje chanjo? Manesi huwa wanafuata hadi maghorofani na kuwapatia chanjo majumbani kwao! Sasa kama nesi alieyeenda kutoa chanjo hajuhi kujifanya MTUMWA:namaanisha zile lugha za ....samahani mzee tunaomba tumpe mwanao ka-chanjo kidogo...ni genuine made in India...bra bra! mama wa kihindi akamtolea mbovu. Ukoloni mwingine bwana!
   
 4. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  hii mijidude huwa inajifanya ndicho maana idd amin alikuwa haipendi.
   
Loading...