wa TZ kwa kupenda vitu used..........

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,344
462
Wabongo kwa kupenda vitu USED balaa... TV used, REDIO used, GARI used ona sasa hadi BOYFRIENDS na GIRLFRIENDS tunachukua used,je huyo ulienae sio used??????????
 
Hata mabosi wanapenda kuajiri wafanyakazi used, wenyewe wanaita uzoefu.....
 
yani mmezunguka wee humu ndani mmeona hapa ndipo pa kuweka futuhi zenu eh! mmepotea.
 
Back
Top Bottom