Wa Tanzania pengine tuanze kujua umuhimu wa vyombo vya habari vya taifa

mng'oa kucha

Senior Member
Jul 31, 2013
150
179
Tumezoea kuzikwepa kwamba ni redio za kizee, zinatangaza habari za upendeleo kwa serikali matokeo yake vito vya habari vya taifa kama TBC vi,ekuwa vikidharauliwa ila kwa kifupi tu kilichotokea zimbabwe hakuna mtu anasikiliza kituo kingine chochote ili ajue hatma ya taifa lake. Mi nadhani nikiishia hapo itapendeza
 
Kwanza mwambie Magu na Bashite, halafu waambie hao CCM waache ukada! Hayo tu.
 
Mkuu watu wanaweza kuwa focused na TV ya Taifa ila changamoto ni kuwa ubunifu ni mdogo sana kwenye mashirika hio TBC TV ndio kabisa atleast TBC Taifa Fm radio,
 
Back
Top Bottom