Wa pwani na wa bara, wapi ni wataalamu wa majamboz kitandani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,325
Baghosha na bhakima, napenda kujua kati ya watu wa bara na wa pwani wepi ni wataalam zaidi kwenye uwanja wa sita kwa sita?
 
Wa pwani wana mapenzi ya kiwiziwizi. Zanzibar unakuta demu bikira kumbe nyuma kaharibika vibaya, Tanga wanajidai wanajua sana handling na vitu kama hivyo, ukigeuka tu anaenda kugongwa na muuza genge.
bora mapenzi ya kikurya, mke asipopigwa anaona upendo umepungua
 
Bro hapa jibu unalo. Kitu kimoja cha msingi ni kuwa wa Pwani wake kwa waume wanafundisha jinsi ya kuwajibika. Bahati mbaya huko bara kuwajibika utajiju......... Kwa mantiki hiyo hawa wenzete wa Kikwele (and related kinship) hawajambo! Ndiyo hali halisi ya mambo.
 
Hapa ngoma droo bwana wanyamwezi, wangoni, wayao nk. Ila wapwani sababu ni wavivu wa kufanya kazi wanakuwa busy na ngono tu wanajua lakini hata wa bara wapo kama hizo kabila nilizotaja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom