bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,841
- 4,145
Afrika, wanasema ni bara lenye utajiri mkubwa lakini pia na migogoro mingi!Kilimanjaro ndio mlima mrefu kuliko yote barani Africa
Afrika, wanasema ni bara lenye utajiri mkubwa lakini pia na migogoro mingi!Kilimanjaro ndio mlima mrefu kuliko yote barani Africa
migogoro mingi inatokana na ulafi wa madarakaAfrika, wanasema ni bara lenye utajiri mkubwa lakini pia na migogoro mingi!
Madaraka Nyerere yuko wapi siku hizimigogoro mingi inatokana na ulafi wa madaraka
Halitatosheleza Kama kiwango cha uzalishaji kitapungua
Punyeto ndio chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiumeKitapungua zaidi ukiendelea kupiga punyeto
wanaume wa dar mnasumbua sanaKiume ni jinsia ila kiumeni ni kwenye kundi la wanaume
Sana sana nakuchukiaa wewe basi tuwanaume wa dar mnasumbua sana
Basi tu wamrudishe bilioneaa wetu Mo dewji,,,,,Sana sana nakuchukiaa wewe basi tu
Dewji tuzidi kumuombea huko aliko wamrudishe salamaBasi tu wamrudishe bilioneaa wetu Mo dewji,,,,,
lkn wanichukia mefanyajeDewji tuzidi kumuombea huko aliko wamrudishe salama
Uhai ni maji ya kunywa yanayotengenezwa na kiwanda cha azammefanyaje hadi nitishiwe uhai
Azam ipi ya enzi za boko?Uhai ni maji ya kunywa yanayotengenezwa na kiwanda cha azam
Boko ni mnyama anaeishi majiniAzam ipi ya enzi za boko?
Majini hutumiwa na wagangaBoko ni mnyama anaeishi majini
Waganga ni watu muhimu kuelekea uchumi wa viwandaMajini hutumiwa na waganga
Waganga wajadi au wa kizungu?Majini hutumiwa na waganga